FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

van dayiki
tapatalk_1556753272839.jpeg
 
Right flank haifanyi kazi, na naona kama Roberto anasumbuliwa sana na Mane kwenye spidi. Nadhani ni muda wa kumleta Semedo.

Coutinho is doing a good job, na Vidal naona anakata umeme kwa fujo.

Hawa jamaa wanavyomkaba messi watano watano, wanawaacha Coutinho na Suarez wanakimbia free, hakika watajutia.

Tukitulia, kuna mawili mengine tunaenda zetu kulala!

Roberto mzuri sana ila amenyimwa mbio, akiachwa inakua kazi kumfukuza adui.
 
With all due respect
Board ya Barca tunaomba tuibebe celta Virgo ambao wako kwenye danger zone kwa muda mrefu ....

Messi,Busquets, Pique,Suarez,Coutinho,Vidal,Semedo ,S Roberto,Ter Stergen na Jordi Alba tunaomba hata wasisafiri kwenda kucheza na celta Virgo, jumamosi

Thanks

hahahaha Watufunge hata moja bila wabakie katika La Liga
 
Coutinho, next game at Anfield is yours to shine. That's was your home and kindly curly that beautiful diagonal goal out the 18 yards. We only need two goals, with Vidal protecting our defence

1086172
 
Messi has now scored 3⃣5⃣0⃣ goals for Barcelona at the Camp Nou:

🔵 335 appearances
🔴 350 goals
🔵 119 assists

#BARLIV #Messi #Messi600
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom