FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Official :Xavi retires from football
Another coach in the making.
Xavi ametangaza rasmi kutandika daruga Leo, in short hajawahi kutokea mpiga passes kama Xavi katika historia ya Laliga and Xavi is more successful than Zinade kama mtu anabisha nije na data
Screenshot_20190502-221828_Instagram.jpeg
 
Official :Xavi retires from football
Another coach in the making.
Xavi ametangaza rasmi kutandika daruga Leo, in short hajawahi kutokea mpiga passes kama Xavi katika historia ya Laliga and Xavi is more successful than Zinade kama mtu anabisha nije na data
View attachment 1086505
Unamkosea adabu kusema hajawahi kutokea mpiga pasi kama yeye Laliga.

Uhalisia ni kwamba hajawahi kutokea mpiga pasi kama Xavi kwenye hii solar system yetu na galaxy nzima kwa ujumla!

Kwangu Mimi Arturo Vidal ndiye Man of the Match. Ametimiza majukumu yake ipasavyo. Vidal aliletwa Barcelona purposely kwa Mechi kama hizi. Last season tumetolewa na Roma ni kwa sababu alikosekana Mtu kama yeye.
Kocha ameplan vizuri kumuacha Arthur Melo kwa sababu Dogo Bado hawezi fitna na roho mbaya.
Vidal anahitajika Sana next game pale England kukamilisha Kazi yake

Screenshot_20190502-135229_FotMob.jpg
 
Kwangu Mimi Arturo Vidal ndiye Man of the Match. Ametimiza majukumu yake ipasavyo. Vidal aliletwa Barcelona purposely kwa Mechi kama hizi. Last season tumetolewa na Roma ni kwa sababu alikosekana Mtu kama yeye.
Kocha ameplan vizuri kumuacha Arthur Melo kwa sababu Dogo Bado hawezi fitna na roho mbaya.
Vidal anahitajika Sana next game pale England kukamilisha Kazi yake

Jamaa namkubali kinoma...naombea next game achezeshwe 90 Mns
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom