GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Akikujibu ni tagMatokeo vp?
Akikujibu ni tagMatokeo vp?
Unakuta mtu anauliza eti Vidal anafanya nini uwanjani? Nigga, do you even have an idea of what football is?
Kama hujaona efforts za hili south American beast, i suggest you stick to fashion magazines. Football is not for every one!
Kuna home na awayWewe nae-mpira umeanza angalia lini?hao clinical finishers wako ni kwa ajili ya EPL-sio kwa defence la Barca
I saw it coming ?match ya Leo nilijua ataanzishwa tuUnakuta mtu anauliza eti Vidal anafanya nini uwanjani? Nigga, do you even have an idea of what football is?
Kama hujaona efforts za hili south American beast, i suggest you stick to fashion magazines. Football is not for every one!
Nadhani saa hizi wanaotabu kunywa chaiRight flank haifanyi kazi, na naona kama Roberto anasumbuliwa sana na Mane kwenye spidi. Nadhani ni muda wa kumleta Semedo.
Coutinho is doing a good job, na Vidal naona anakata umeme kwa fujo.
Hawa jamaa wanavyomkaba messi watano watano, wanawaacha Coutinho na Suarez wanakimbia free, hakika watajutia.
Tukitulia, kuna mawili mengine tunaenda zetu kulala!
Alikuwepo uwanjani janaKwani Guadiola anavyowaambiaga Messi hakabiki wanajua anatania?
Utafukuzwa kazi wewe.Hii game naidownload alafu naiangalia mpaka asubuhi, ikiisha narudia tena mpaka kukuche.
kujisahau sio kuzuri unayemuongelea kalichukua hilo kombe mara tano kama team ya Barcelona ilivyochukua.Dunia sio kijiji tena bali ni familia, hakika anazo


Duuh! Hili jukwaa ni VIP kweli?Alikuwepo uwanjani jana View attachment 1085982
Nikweli Mkuu wangu wala sibishi uliyosema ila hapa issue ilikua ndogo tu "Habari kazipata?"😀mbona mnapotea tup
kujisahau sio kuzuri unayemuongelea kalichukua hilo kombe mara tano kama team ya Barcelona ilivyochukua.
Kiaje mkuu?Duuh! Hili jukwaa ni VIP kweli?
Kuna mtu alikua anashangilia eti possession Liverpool anaongoza
Nikamuambia yule ndie master Velverde, kuhusu possession sahau sio kigezo sana kwake ,he is so concerned about accuracy na ndio maana hatupigi mashuti golini kwa adui ovyo ,inatakiwa ukipiga goli...no wastage
Salamu ziwaendee Anfield tunakuja kucheza kama match ya kwanza tulipoteza
The same first eleven ila Semedo ataanza
See translation button siioninós acreditamos que messi é um deus do futebol
Kajichanganya tu na watu ndugu na marafiki..hajaenda kukaa VIPDuuh! Hili jukwaa ni VIP kweli?