FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

20190502_001358.jpg
 
Unaweza ukawa unaonekana bora kumbe uko darasa la wabovu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mziki utaanza kuujua pale utakapo kutana na ma genius.
Hahah! Hakika mkuu sasa tunaona ubora kumbe ni kwakina Leicester city na wenzake 😂😂
 
watu wengi wamekuwa wakisema timu yetu inamtegemea san messi... ni kweli lakin hawajui kuwa kabla ya messi timu imepata kocha mwenye uwezo mkubwa sana kuchambua mchezo..

pongezi wa kocha wa barcelona, ukiangalia leo basa hawakucheza kwenye mfumo wao mama wa kila sk wa 4-3-3 leo alicheza 4-4-2 ni mbinu kubwa iliofanya ushindi upatikane kirahisi dhidi ya liva..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom