FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wewe nae,mtu kapata goal ugenini,anaamua ku conserve energy for the return encounter-wewe unaona Spurs were good-return leg yaweza kuwa massacre
anavyocheza Ajax away and home ni vile vile mfuatilie vizuri ndio maana anaweza kufungwa nyumban akashinda ugenini, usitegemee makubwa saana kwa Ajax akiwa nyumbani
 
Mwenzako kasema Team za England hazitendei haki football katoa mfano wa Ajax kupossess game kuliko spurs wakati mchezaji mmoja tu sissoko kawa chafua viungo wote wa Ajax, alipoingia mambo yalibadilika, Ajax wazuri sana ila walizifunga team zilizojaa wazee,walichofanya ni kuwa Press wakakubali wakikutana na vijana wenzao ni wakawaida sana
Sissoko ni kijana?
 
Kikosi hicho wadau
Screenshot_20190501-204217.jpeg
 
Hatutegemei leo tuposess mpira, leo tukipata mpira ni kumwangalia Messi na Coutinho wapo wapi tu.
Possession iko pale pale-hawa tutawabana kati-Dembele akae standby tukihitaji kuwa stretch aingizwe fasta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom