FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Here we go
1556790525248.gif


[emoji125][emoji125]sijui nani kafunga
 
Wale wana mapovu makali balaa. Najipenda mie

Ngoja nichokoze hapa hapa

#eplniborakulikolaliga[emoji125][emoji125]
😂😂😂😂 tuvumiliane tu kwakweli, alafu home hapanogi hivyo basi nakuomba tukutane Liverpool special thread ukacheke huko
 
Haukubet wewe odd ya Barça Ollie's 1.80-1.90 kama uliweka laki 2 ungepata 364,000 faida ingekuwa 164000 jifunze kuandika uongo
Hahahaha labda aliweka double change yeyote ashinde
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom