AminWazee ucl is coming home
Yuko vizuri, ataweza mreplace rakitic vizuriWakuu hivi huyu Alena huwa mnamtazama kwa jicho la ziada? Namuona atakujakua mchezaji tegemezi hapa Barc siku za mbele
Naona leo anachezesha dimba la juu kama MessiYuko vizuri, ataweza mreplace rakitic vizuri
Kaumia naona atakua kachana nyamaDembele kawaje tena wakuu?
Dembele kawaje tena wakuu?
Dogo ananikosha na turn zake noma sanaHaka ka Riqui Puig akaachagai kunikosha.
Dembele naona anaadhirika tu kila siku. Pancha ndiomali yake.
Mkuu, pole sana...first half ilinipita...
Lawama alizopata kukosa lile goli dhidi ya Liver alipaswa kucheza leo ili ashushe preshaSikuona sabab ya valvede kumuanzisha dembele kwenye game ya bonanza kama hii.
hii unayoona ya bonanza kuna mtu kesho atakuwa billionare au millionareSikuona sabab ya valvede kumuanzisha dembele kwenye game ya bonanza kama hii.
Anastahili kucheza bonanza ili arudishe confidence yake inayopotea kwa kasi sana.Sikuona sabab ya valvede kumuanzisha dembele kwenye game ya bonanza kama hii.
Tayr huku mmeshanyonyolewa
Haina kwere,j4 tunanyonyoa kuku halisi![]()



nyonyoen vizur..saiv ni vipand vipande tuu