Roberto kaanza kama ulivyotakaSafi Sana anaanza mvunja kuni Vidal
Jamaa hujui Vidal wa nini? Duhuyo Vidal wa nn tena daaah jamaa hana skills kabisa
😂😂Naipenda Barcelona ila Liverpool zaidi. Ki ukweli hizi ndio timu zangu nazozi support huko juu.
Ila akishinda liverpool itakuwa poa zaidi kwangu. Barca wakishinda ni sawa tu.
Tuseme Inshaalah maana chuki haijengiNasema tena mpigwe tu nyie mambwa hamna lolote nawachukia ..mpigwe mana hamna lolote
Tuseme Inshaalah maana chuki haijengi
Nasema tena mpigwe tu nyie mambwa hamna lolote nawachukia ..mpigwe mana hamna lolote
kwan unajisikiaje mkuu
Sawa mkuuMpigwe tu hamna namna
Download burma tv ipo play storeOya wazee naombeni link ya kuangalia hilo game kwenye simu.
Oya wazee naombeni link ya kuangalia hilo game kwenye simu.
Ahsante sana mkuu ngoja nifanye hivyo.Nenda app store download mobdro,ukidowloand fungua ukiclick kwenye "sport",then kwenye list za channels zitakazokuja tafuta Sony ten 2
Au angalia kuna threads hapo chini watu wameweka linksAhsante sana mkuu ngoja nifanye hivyo.
uzi umepoa sana Leo! anyway sure boy kashakiwasha hukoAhsante sana mkuu ngoja nifanye hivyo.
Haha tunasubir messi awatoboe sio kwa kumkaba ukoouzi umepoa sana Leo! anyway sure boy kashakiwasha huko