Kwamba Mbowe peke yake,Bila kuwashirikisha viongozi waandamizi wenzake ndani ya chama,anatoa laki sita kuwapa makomandoo watatu walioachishwa kazi jeshini.
Pengine kila mmoja atumie laki mbili ili.
1.walipue vituo vya mafuta vya Mwanza,Arusha,Dsm,Mbeya,na kilimanjaro.
2.walipue masoko yenye mkusanyiko wa watu wengi, mfano kariakoo,soko la Mwanza na mengineyo.

Hivi kweli Mbowe huyu huyu tunaemjua ambae pale Mwanza kwenye sherehe za uhuru Mbele ya makamera na Mbele ya Magufuli aliomba maridhiano ya kitaifa anaweza kweli kupanga njama za kutaka kulipua masoko yenye watu wengi?
Kulipua vituo vya mafuta nchi mzima?

Lakini ajabu kwa kuwatumia watu watatu tu na shilingi laki sita Mbowe aliwaelekeza wakate miti iliyoinamia Barabarani ili pengine kuzuia nagari yasipite kuanzia Morogoro kwenda iringa.
Mbowe huyu huyu?
Tanzania imebadilika Sana aisee.
Rubbish tupu. Acha kutetea upuuzi, wamjua wewe mkewe?. Nyumbu akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Kwamba Mbowe peke yake,Bila kuwashirikisha viongozi waandamizi wenzake ndani ya chama,anatoa laki sita kuwapa makomandoo watatu walioachishwa kazi jeshini.
Pengine kila mmoja atumie laki mbili ili.
1.walipue vituo vya mafuta vya Mwanza,Arusha,Dsm,Mbeya,na kilimanjaro.
2.walipue masoko yenye mkusanyiko wa watu wengi, mfano kariakoo,soko la Mwanza na mengineyo.

Hivi kweli Mbowe huyu huyu tunaemjua ambae pale Mwanza kwenye sherehe za uhuru Mbele ya makamera na Mbele ya Magufuli aliomba maridhiano ya kitaifa anaweza kweli kupanga njama za kutaka kulipua masoko yenye watu wengi?
Kulipua vituo vya mafuta nchi mzima?

Lakini ajabu kwa kuwatumia watu watatu tu na shilingi laki sita Mbowe aliwaelekeza wakate miti iliyoinamia Barabarani ili pengine kuzuia nagari yasipite kuanzia Morogoro kwenda iringa.
Mbowe huyu huyu?
Tanzania imebadilika Sana aisee.
uje na counterbook nikufundishe siasa na jinsi wanasiasa walivyo vinyonga labda unaweza kuacha mbowe akipate alicho kitafuta, naona unabwabwaja tu hapa
 
Kwamba Mbowe peke yake,Bila kuwashirikisha viongozi waandamizi wenzake ndani ya chama,anatoa laki sita kuwapa makomandoo watatu walioachishwa kazi jeshini.
Pengine kila mmoja atumie laki mbili ili.
1.walipue vituo vya mafuta vya Mwanza,Arusha,Dsm,Mbeya,na kilimanjaro.
2.walipue masoko yenye mkusanyiko wa watu wengi, mfano kariakoo,soko la Mwanza na mengineyo.

Hivi kweli Mbowe huyu huyu tunaemjua ambae pale Mwanza kwenye sherehe za uhuru Mbele ya makamera na Mbele ya Magufuli aliomba maridhiano ya kitaifa anaweza kweli kupanga njama za kutaka kulipua masoko yenye watu wengi?
Kulipua vituo vya mafuta nchi mzima?

Lakini ajabu kwa kuwatumia watu watatu tu na shilingi laki sita Mbowe aliwaelekeza wakate miti iliyoinamia Barabarani ili pengine kuzuia nagari yasipite kuanzia Morogoro kwenda iringa.
Mbowe huyu huyu?
Tanzania imebadilika Sana aisee.
Hivi mtu akilogwa na wachawi anakuaje, ningependa kujua hivyo isijekuwa tunawaonea watu hapa. Vilogo vingine huwenda HD
 
Kazi za shetani. Usingiziaji na ubambikiaji kesi. Time will tell
Mwaka umemuendea vibaya sana Mbowe. Pole zake
Mungu atampigania na atamshindia.

Watesi wake waliolaanika, wenye kufanya ibada za Mwenge zilizokatazwa na Mungu mwenyewe kwenye Isaya 50 11 wataendelea kulala kwa huzuni Kama neno la Bwana liishivyo
 
Ila kuna chama kina chapa zote za yule muovu, ikiwemo ibada za moto zilizokatazwa kwenye kitabu Cha Nabii Isaya sura ya 50 Aya ya 11.
Na laana za nchi hii zinatokana na andiko Hilo.

Matendo ya watu yanatakiwa kuendana na matendo ya Kristo; na hao watu wako kwenye kila chama
 
wewe ni mlokole?

Wa Mungu aliyetuumba kabisa
Screenshot_20210916-235613.jpg
 
Back
Top Bottom