Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Sirro limedhamiria kumdhalilisha Samia ili kulipa credit Sukuma gang hii ndio sababu Sirro alipuuza kumkamata askofu wa mashaka Gwajima umizeni vichwa
Kamsalimie Gaidi huko Segerea acha kutoa mapovu mtandaoni tu wewe bibi kizee!
 
Nenda kamsalimie gaidi wewe yuko Segerea acha kubwabwaja mtandaoni tu wakati gaidi anaendelea kuumia mlupango!
Gaidi aliyefadhili laki 6 kwa genge lake. Gaidi aliyetenda ugaidi last year ila akawa anazunguka freely kwa mwaka mzima

Are you normal?
 
Yes kama ushahidi wa kutosha ulikuwa haujapatina ulitaka akamatwe endelee kuozea mahabusu mkuu? Hata ukifadhiri laki moja bado utakuwa gaidi tu. Ugadi siyo lazima ufadhiri mamilioni mkuu!!
 
Ugaidi wa shilingi laki sita, bastola ya risasi tatu. Mbona hiyo ni bajeti ya ujambazi tu.
 
Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo.

Hayo ndio yalikua matarajio ya wengi. Hata Kigogo alisema subirini asomewe mashtaka mtashangaa. Dada yetu wa Marekani nae akasema ameelezwa mambo mazito kuhusu tuhuma za Mbowe na ugaidi.

Lakini kilichotokea leo ni tofauti na matarajio ya wengi. Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously? Huu ndio ule ushahidi mzito tuliokua tunaungojea? Hiki ndio kile ambacho Mama aliiambia dunia kwamba Mbowe alifadhili ugaidi halafu akatoroka nchi? Yani alifadhili ugaidi kwa laki 6 halafu akakimbia?🤣.

Kama ugaidi unaweza kufadhiliwa kwa laki 6, basi nchi yetu ingekua na vikundi mengi sana ya kigaidi. Kwa mujibu wa ripoti ya BBC ya December mwaka jana, Kundi la Al Shabab linakusanya zaidi ya $180M kama kodi kutoka kwa raia wa Somalia. Hizo ni sawa na TZS Bilioni 400. Pia wanapata ufadhili kutoka taasisi mbalimbali unaokadiriwa kufikia $900M kwa mwaka sawa na TZS 2.2 Trilioni.

Kwahiyo bajeti ya Al Shabab kwa mwaka ni zaidi ya TZS Trilioni 3. Hicho ni kikundi cha kigaidi ambacho kiko hapo Somalia. Lakini Tanzania tuna kikundi cha kigaidi cha Mbowe chenye bajeti ya laki 6 kwa mwaka. Funny but not funny.

Mashtaka ya leo yameonesha huenda serikali haikujipanga na kesi hii, na yamezidisha mashaka ya wale waliokua wakisema Mbowe amekamatwa kwa sababu za kisiasa ikiwemo kudai katiba mpya. Watu walitegemea hati ya mashtaka iliyosheheni "serious offence" za ugaidi, sio hiki kilichopelekwa mahakamani leo. Hata CCM wenyewe wamepigwa butwaa kusikia hizi tuhuma za Mbowe kufadhili ugaidi kwa laki 6.

Pia tuhuma za kutaka kuchoma vituo vya mafuta ni kituko kingine. Kama Mbowe alikua na "roho mbaya" kiasi hicho basi angepanga kuchoma vituo vya mafuta baada ya matokeo ya uchaguzi 2015, kwa sababu wananchi walikua tayari kwa lolote. Lakini akatumia hekima kuwatuliza. Akaonekana muoga lakini hekima ikamuongoza, kuhakikisha hakuna hata mtu mmoja anajeruhiwa kwa sababu ya uchaguzi.

Sasa kama aliweza kutiza watu waliokua kwenye "tention" kubwa kiasi kile akafanikiwa, angewezaje kupanga kuchoma moto vituo vya mafuta kwa sababu ya Sabaya? Halafu akishachoma yeye ndio anakuwa Mkuu mpya wa wilaya ya Hai? What a crap?

Pia tuhuma za kupanga kumuua Sabaya nazo zina ombwe. Askofu mmoja leo amesema Mbowe hawezi kupanga kumuua Sabaya, lakini Sabaya anaweza kupanga kumuua Mbowe. Ushahidi wa kimazingira unaonesha hivyo.

Sabaya amewahi kuvamia hotel moja ya kitalii akiwa na bunduki, akataka kuoneshwa chumba alicholala mwanamuziki mmoja wa bongoflava ili aende kumbaka. Walinzi wakakataa kumuonesha. Akiwa na mabaunsa wake wakawapiga wale walizi na kuwalaza rumande. Tukio hilo lilirekodiwa kwa CCTV camera za hoteli hiyo lakini wala hakujali.

Sabaya amewahi kutumia magari binafsi akayapachika namba za umoja wa mataifa kisha akaenda kufanya nayo uhalifu, bila kujali kwamba anaharibu diplomasia yetu kimataifa. Sabaya amewahi kumvamia diwani mmoja huko Machame na kutembeza kipigo kwa familia nzima, kisha akamkata sikio mtoto wa diwani huyo.

Sasa jiulize kati ya Sabaya mwenye rekodi za ukatili kiasi hiki, na Mbowe mwenye rekodi za kutumia hekima kutuliza "tention" za watu, nani anaweza kupanga kumuua mwenzie? Kusema Mbowe alipanga kumuua Sabaya ni sawa na kusema Papa Francis anapanga kumteka kiongozi wa Boko Haram. Future imposible tense.

Halafu kumbuka Sabaya ndiye aliyetoa tuhuma hizi za kutaka kuuawa. Watu wanauliza je kuna uhusiano gani kati ya Sabaya na Jamhuri kwenye kesi ya Mbowe?

Kwanini kesi ya Sabaya inaendeshwa kwa kasi sana? Mwanzoni ilikua inasikilizwa baada ya wiki mbili, lakini kwa sasa inasikilizwa kila siku? Kuna watuhumiwa wangapi ambao ushahidi umekamilika lakini kesi zao hazipelekwi kwa kasi kama ya Sabaya? Kwanini Hakimu alibadilishwa? Kwanini tuhuma za Sabaya kwa Mbowe zinapewa uzito sana kwa sasa?

Halafu kwa mujibu wa sheria ya ugaidi no.21 ya mwaka 2002, kifungu cha 4 ugaidi unahusisha halaiki ya watu sio mtu mmoja. Yani ukiua mtu mmoja hayo ni mauaji na utashtakiwa kwa maujai (murder), lakini ukiua halaiki ya watu huo ni ugaidi na utashtakiwa kwa ugaidi (terrorism). Sasa imekuaje tuhuma za kupanga kumuua Sabaya (mtu mmoja) ziitwe ugaidi?

Mimi nadhani Rais Samia amshauri DPP kuiondoa hii kesi mahakamani. Wala haitakua kuingilia uhuru wa mahakama. Rais Samia aliwahi kumshauri DPP kaziondoa mahakamani kesi za "kubambikia" na wala hakuonekana anaingilia uhuru wa mahakama. So anaweza kushauri kwa hii ya Mbowe pia.

Hii ni kwa sababu kesi hii inachafua sana serikali ya Samia, kitaifa na kimataifa. Kesi hii imemuondolea heshima yote aliyoijenga kwa siku 100 za kwanza. Hata wawekezaji watapungua kwa sababu hakuna mtu atakayekua tayari kurisk mtaji wake kuwekeza nchi yenye ugaidi. Hata wafadhili watapunguza misaada kwa sababu hakuna mtu anataka kufadhili nchi yenye ugaidi.

Kwahiyo Rais Samia anaweza kumshauri DPP kuifuta hii kesi kwa maslahi mapana ya serikali yake, maslahi mapana ya nchi yetu, na maslahi mapana ya demokrasia nchini.

Na hatakua wa kwanza kufanya hivyo. Mwaka 1970 Bibi Titi Mohamed na wenzake walifungwa gerezani kifungo cha maisha kwa tuhuma za uhaini. Kumbuka Bibi Titi ni mmoja wa watu waliopigania uhuru wa nchi hii, na ni Waziri wa kwanza mwanamke.

Watu wenye hekima wakamfuata Mwalimu Nyerere na kumwambia, athari za kumfunga bibi Titi ni kubwa kuliko za kumuachia huru. Kumuweka jela kunaiharibia zaidi serikali yako. Ukimuachia huru atakayefaidika zaidi ni wewe na serikali yako sio yeye. Nyerere akaelewa na mwaka 1971 akamuachia huru.

The same applies kwa kesi ya Mbowe. Ikiwa DPP ataamua kuifuta hii kesi, atakayenufaika zaidi ni Samia na serikali yake, si Mbowe wala Chadema.

Hata hivyo Samia ana uhuru wa kusuka au kunyoa. Kesi iendelee kusikilizwa na yeye aendelee kuchafuka na kujifungia fursa za wawekezaji (hata kama Mbowe atashinda) au amshauri DPP kuifuta kesi, apate heshima ya kufanya maridhiano ya kisiasa, na historia imkumbuke kama mama shujaa wa demokrasia. Kupanga ni kuchagua.!
Kwa ushahidi huu Serikali na majambawazi yake (Mapolisi) wameshashindwa mapema na asubuhi. Hii ni kesi ya KUGHUSHI haina ukweli wowote
Kweli mtu afadhili UGAIDI KWA LAKI 6 TSHS( 240 USD)^ yaani 600,000/= ????
Kama ni DOLARI ZA MAREKANI yaani USD 600,000 it can sound, but 600,000 Tshs...This is NO! NO! NO!
 
Nyie jichanganyeni tu mnajiuliza maswali mnajijibu... Kama mnajua ukweli simkamteteee.. Yaani mnataka kubadilisha makosa ya ugaidi yaende kwa sabaya... Kama huo ushaidi hauna nguvu povu la nini?
 
Acha ujinga ZWAZWA!!! Kwani ukiwa wa kubambikia wewe unataka kuwanyamazisha Watanzania wanaotaka kuongelea maovu ya hii Serikali haramu ukiwa kama nani? STAY ON YOUR LANE!!!
Nyie jichanganyeni tu mnajiuliza maswali mnajijibu... Kama mnajua ukweli simkamteteee.. Yaani mnataka kubadilisha makosa ya ugaidi yaende kwa sabaya... Kama huo ushaidi hauna nguvu povu la nini?
 
Hiyo laki sita mbona nyingi Kuna wale wanaojilipua wa imani Kali hupewa tu nauli ya daladala kuwafikisha eneo la kujilipua na mabomu

Kufadhili ugaidi si mamilioni ya hela waweza tu lipia tu shilingi Mia tatu ya nauli ya daladala ukadakwa kwa kufadhili ugaidi
Mbowe ana imani kali. PROVE
 
Ila wachaga ni wabahili jamani, yaani unafadhili ugaidi kwa laki 6 kweli. Watani acheni ubahili
 
Back
Top Bottom