Freeman Mbowe amewahi Kuwa Boss wa Mawaziri Wakuu Wastaafu Wawili kwa Wakati mmoja mzee Lowasa na Mzee Sumaye wa CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,088
Niko naipitia CV ya mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kiukweli ina mambo ya kufurahisha, kushangaza, kustaajabisha na ina mengi ya kujifunza

Kuna Wakati Freeman Mbowe amekuwa akiwaongoza Mawaziri Wakuu Wastaafu Wawili kwa Wakati mmoja mzee Lowasa na Mzee Sumaye

Mbowe ni Boss wa Mzee Marando

Mbowe amekuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni kwa miaka 10

Mbowe alikuwa Dubai wakati Shujaa Magufuli anafariki na aliporejea alikamatwa na kufunguliwa Kesi ya Ugaidi

Mbowe alidaiwa kupanga Njama za kumuua.DC.Ole Sabaya lakini Ole Sabaya ndiye akaja kuhukumiwa kifungo au Faini Baada ya kubainika ni Jambazi linalotumia Silaha

Na Yeye Mbowe alifutiwa Mashtaka ya Ugaidi na kualikwa Ikulu kwa mazungumzo na Rais wa JMT

Bado nasoma hii historia ya Freeman ila kiufupi Huyu Mwamba anastahili kutunukiwa PhD ya Heshima

Mlale Unono 😀😀😀
 
Walikuwa wamechongwa
 
Mnyaluhala wewe muvina!Mimi mwenyewe ukija nyumbani kwangu nakuwa bosi wako.Huchukui kidulu mpaka nitoe go ahead!😂😂😂😂
 
Niko naipitia CV ya mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kiukweli ina mambo ya kufurahisha, kushangaza, kustaajabisha na ina mengi ya kujifunza

Kuna Wakati Freeman Mbowe amekuwa akiwaongoza Mawaziri Wakuu Wastaafu Wawili kwa Wakati mmoja mzee Lowasa na Mzee Sumaye

Mbowe ni Boss wa Mzee Marando

Mbowe amekuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni kwa miaka 10

Mbowe alikuwa Dubai wakati Shujaa Magufuli anafariki na aliporejea alikamatwa na kufunguliwa Kesi ya Ugaidi

Mbowe alidaiwa kupanga Njama za kumuua.DC.Ole Sabaya lakini Ole Sabaya ndiye akaja kuhukumiwa kifungo au Faini Baada ya kubainika ni Jambazi linalotumia Silaha

Na Yeye Mbowe alifutiwa Mashtaka ya Ugaidi na kualikwa Ikulu kwa mazungumzo na Rais wa JMT

Bado nasoma hii historia ya Freeman ila kiufupi Huyu Mwamba anastahili kutunukiwa PhD ya Heshima

Mlale Unono 😀😀😀
Mzee Mgaya siku hizi unawapoteza wapopo balaa
 
We Mzee usipende kumchokonoa Erythrocyte,

Mbowe hakufutiwa mashtaka,

Mshtaki alishindwa kuthibitisha kosa la Mbowe mahakamani akakimbia!!
 
Back
Top Bottom