NDUGU MALISA GJ ELEWA KUWA SI UNIT YA UANAHARAKATI NI JELA AU KIFO. UKISEMA UNAOGOPA KIFO NA HUJUI HATMA YA WATOTO WAKO. NI KWAMBA HUJUI UNACHOKIFANYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nimeona àndiko la ndugu MALISA GJ akiwa anaonyesha Hofu yake kuhusiana na kupewa taarifa kuwa naye yupo...
Wakati mnaanzisha combination zenu zisizoeleweka, tuliwauliza mmejiandaa? Mlipounda tahsusi kama vile Arabic, Music & Sports (ArMS) tuliwauliza serikali imeandaa walimu wa Arabic, walimu wa Music na walimu wa michezo wa kutosha? Tuliuliza kwa sababu tunajua vyuo vyetu haviandai walimu wa masomo...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limemuachia kwa dhamana Godlisten Malisa majira ya Saa saba Usiku wa kuamkia leo Juni 8, 2024.
Baada ya kuachiwa moja kwa moja yeye na wawakilishi wake wakiongozwa na Wakili Hekima Mwasipu wakaelekea Hospitali ya KCMC kutokana na afya ya Malisa kudaiwa kutokuwa...
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki.
Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu , bado haijafahamika siku ambayo watafikishwa Mahakamani.
PIA SOMA
- Kamanda Muliro: Malisa GJ...
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi wameondoka na Godlisten Malisa kwenda naye Moshi, Kilimanjaro usiku huu ili kufanya upekuzi nyumbani kwao...
Familia ya marehemu Robert Mushi imetoa Shukrani kwa Umma wa Watanzania kwa kupaza sauti Kwenye Mitandao ya Kijamii ina kufanikisha na kufanikiwa kuuona mwili wa ndugu yao aliyepotea ghafla
Source: Mwananchi
Pia soma
- Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob...
Kuna mambo Mawili muhimu sana,
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi wao kwamba Polisi walihusika kifo cha mtu aitwaye Mushi.
Pili: Mwanasheria Nguli Wakili Msomi...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi maarufu kama Babu G. ambaye picha yake imeambatanishwa kwenye taarifa hizo kuwa alipotea tarehe 11 Aprili, 2024 na...
Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024. Inadaiwa alikamatwa na watu waliojitambulisha kuwa Polisi maeneo ya Kariakoo na baada ya hapo...
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu...
Naunga mkono "operesheni" ya kuwakamata mashoga inayoendelea nchini. Hata hivyo nashauri Polisi wasiishie kwa mashoga tu bali wakamate na mabasha pia.
Shoga akikamatwa ataje "wanaomshughulikia" ili nao wafunguliwe mashtaka. Kukamata mashoga bila mabasha hakuondoi tatizo. Kuna "scenario" za...
Ninaandika huu uzi nikiwa nimekwazwa sana na baadhi ya watanzania wenzetu wasiojali katiba inavyosema kuhusu uhuru wa watu wengine. Kumekuwa na uvunjaji mkubwa wa sheria kwa sisi wananchi wa kawaida na tukibanwa tunasingizia viongozi.
Juzi kijana Joel Nanauka alipost kuomba kura za wajumbe...
Watanzania wenzangu na viongozi wa Nchi hii, hebu tufanye tafakari ya kina juu ya sheria ya mifuko ya jamii na kauli za viongozi Wetu juu ya ajira nchini.
Nitoe nadharia ili kila mmoja Wetu asome atumie kama base ya tafakuri.
''Mwezi uliopita kuna taasisi moja hapa nchini ilipunguza...
Ndugu msomaji mimi Leo nimeona nitoe pendekezo kwa Serikali kuangalia ni jinsi gani ikawasaidia vijana wanaohitimu Vyuo vikuu kutumia vyeti vyao kupata mikopo ya kuanzisha biashara mara baada ya kuhitimu.
Kama Serikali ilivyowasaidia vijana hawa kupata mikopo ya kusoma Vyuo basi ni bora pia...
Huko kwenye viunga vya Instagram tayari Mchungaji wa taifa na nabii komandoo Mashimo ametamka wazi kwamba kijana na kada wa CHADEMA, kamanda Malisa GJ kuwa mrithi wa RC mstaafu Baba Keagan. Mimi kama mwanafunzi wa shule ya uongozi chini ya mwalimu mkuu Komredi POLEPOLE nimefurahishwa na tamko...
Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo.
Hayo ndio yalikua matarajio...
''NI KHERI KUFA KULIKO KUISHI‘’ SAUTI YA MSOMI WA TANZANIA
Anaanza kwa kusema,
.....Sitaisahau pindi nipo kidato cha pili, ni ngumu kuisahau siku ya jumatatu ya tarehe 6 ule mwezi wa pili mwaka 2006,ikiwa ni majira ya saa tatu asubuhi nilikua darasani najisomea, ghafla Mwalimu Mkuu aliingia...
Muda wangu wa kuchangia nimeutumia kujibu maswali matano yanayoulizwa na wengi huko mtaani kuhusu Katiba (5 common questions).
1. Kwanini mchakato huu umeandaliwa na BAVICHA? Mnapigania Katiba ya nchi au ya Chadema?
#Jibu: Mchakato wowote wa katiba ni wa kisheria na kisiasa. Katiba ni jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.