Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Watazamaji waliondoka uwanjani kwa huzuni baada ya kukutana na jambo ambalo hawakutarajia katika maelezo yake.
 
MAMBO 10 NILIYOJIFUNZA KWENYE "SANAA ZA MAONESHO" ZA LOWASSA.

By Malisa GJ,

1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, Wanafunzi walisafirishwa, Waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa Lowassa. This is to say ikiwa Lowassa asingetumia pesa huenda uwanjani angekua yeye na familia yake tu.

2. Wengi wanaomuunga mkono Lowassa ni "opportunists". Ni watu wanaotegemea akiingia madarakani awakumbuke. Either awape vyeo au awape unafuu kwenye biashara zao. Hakuna yeyote kwny kundi la Lowassa anayemuunga mkono kwa lengo la kuisaidia nchi.

3. Afya ya Eddo imedhoofu sn kuweza kuwa Rais wa nchi. Alipoingia uwanjani ameshindwa kupanda ngazi za jukwaa, akasimama katikati ya ngazi kwa dakika chache kabla ya kusaidiwa kupanda. Pia anaongea kwa Shida, na mikono yake haina nguvu. Hali hii imesababisha ashindwe kushika microphone alipopewa "mike" na Kibonde.

4. Mkutano wa Lowassa leo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine. Kuna watu wamepata hela ya kulipa mahari kupitia mkutano huu, kuna waliopata mitaji ya kukuza biashara zao na kuna waliopata lift za bure za kwenda Arusha kufanya mambo yao. Hii inaitwa "mbwa kala mbwa"

5. Kutokana na maelezo ya Eddo ni wazi kuwa ana "bifu" na JK. Amekiri kuwa alimpigania sn Kikwete 1995 na 2005 lakini inavyoonekana JK amemsaliti.

6. Akiingia madarakani atalipiza kisasi kwa wabaya wake wote hasa Samuel Sitta, Anthony Diallo na vibaraka wao wote. Ikiwa Eddo atashinda kuna dalili Sitta, Dialo, Makonda, na vibaraka wengine wa CCM wakaishia jela.!

7. Mkutano wa leo ulikua ni mkwara wa kuionesha Kamati kuu ya chama chake kuwa ana nguvu kiasi gani, ili wasijaribu kabisa kukata jina lake wakihofia kukipasua chama.

8. Safari ya matumaini ni safari ya matamanio. Au unaweza kuiita safari ya matumizi. Huwezi kutumia 1.4 bilion for just a single day wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa "padadol" ya shilingi mia halafu ukasema ni matumaini. Labda matumaini ya kuuza nchi.!

9. Ikiwa Eddo atashinda Yuko tayari kutumia rasilimali za nchi ili kulipa fadhila kwa rafiki zake waliomuunga mkono wakati wa kugombea. Kwa mfano yupo tayari kumgawia Mengi vitalu vya gesi Mtwara na kuwaacha watanzania wasinufaike na gesi yao kisa tu Mengi alimpa support kwny kugombea.

10. Lowassa ni msanii mzuri wa sanaa za maonesho. Ametumia makundi yote mawili ktk kufanikisha azma yake. Kundi la Maskini na kundi la matajiri.Ametumia maskini kwa kuwaahidi kuwa atawabana matajiri walipe kodi ili kuboresha maisha ya maskini.

Na ametumia matajiri akiwaahidi kuwa atawabana maskini ili wasipige kelele wakati anawagawia matajiri rasilimali za nchi. Hii ni sanaa. Ha hakika hapa Eddo ameitumia vizuri elimu yake ya sanaa ya chuo kikuu cha Dar es Salaa. (B.A in Fine &Perfoming Arts).!

NB: Watanzania hawawezi kuruhusu kumpa nchi hii "msanii". Nchi hii inatakiwa kuongozwa na mtu "real". Na mtu real hawezi kupatikana kwingine nje ya UKAWA.!

#SAY_NO_TO_SANAA
#SAY_NO_TO_CCM
#BE_REAL . #VOTE_FOR_UKAWA .
 
kwa mtindo huu wa kuchagua rais wa MIHEMKO ya watu basi tanzania itazidi kuwa kichwa cha mwendawazimu
 
Hivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?

I don't think so!
ndugu yangu HV undadgani upngozi no kuzungumza
.kwa kweli kazi ipo
 
Mkuu ujue unachofanya ni kutaka kumpambanisha Tyson na Matumla.... Cha muhimu ni Lowassa kuanza kujitahidi kujipima na wenzie kwanza wa CCM kwa hoja

Uongozi unaanza nyumbani. Sasa tuanzie hapa. Slaa nyumbani ni zero, kwenye chama kidogo tu cha wachaga zero, sasa mnataka kumlinganisha na Lowassa kwenye profile gani jamani hebu semeni ukweli.
Kama ni kubwabwaga hata maneno yapo kwenye kanga za akina mama. Niwaulize ndugu zangu site kitu kimoja kinachompambanua Slaa katika profile ya kitaifa. Semeni ukweli. Slaa ni mwanasiasa wa matukio hana ubunifu. Na hii inatokana na ukweli kwamba hana uzoefu na quality ya uongozi ndio maana anashindwa kumudu uongozi katika ngazi ya msingi. Huyu ndio wa kufananishwa na Lowassa.

Swala wa kuweza kuongea halina tija kwetu. Sisi tunamtaka mtu akayesimamia mambo ya watanzania kwa vitendo. JK ni mzuri wa kupanga vina na sarufi leo tuko wapi? Ameingia TZS vs USD ikiwa 900 karibia 1000 sasa hivi imedouble. Speech imesaidia nini hapo.
Kumbukeni Slaa alivyoshindwa kujibu masuala ya msingi ya mkulima wa Kongwa mwaka 2010. Wacheni mhemko bwana. Slaa ameshakuwa mzee asiyekiwa na uzoefu. Kisha umkumbuke An old dog can not catch new order. Ha ha ha ha ha ha
 
Sasa unabisha Root?China mfuko wa cement ni 4000/=,Slaa akisema 5000 kwa Tanzania ni feasible....anajua cha kufanya,ni very likely..

Sasa wewe unakuja na stori,unafikiri watu wanakurupuka tu

Nahisi humu ndani kuna watu wana upogo wa akili. Hivi China ndio Tanzania? Miundo msingi ya China iko sawa na sisi? Bila shaka uwezo wako wa kuunganisha dots imekuwa impaired. Nahisi ulifaulu shile kwa mitihani ya kuiba.
 
Ila kusema kweli lowasa hawezi kusimama kwenye midahalo pamoja na wagombea wengne sababu huwezi jibu hoja nyingi atakazoulizwa sababu maswali ya kumuuliza lowasa ni mengi kuliko majibu tunayotegemea atakuwanayo!
 
kila uchafu unaouona nchi hii ulifichuliwa na Dr slaa ,
kipi usichokijua , umewahi kumsikia lowasa akipambana na mafisadi ? bali hujasahau kwamba slaa ndio kiboko ya wezi nchi hii .

Shiit!!!! Mbona ameshindwa kuzuia ufisadi ndani ya chama chake? Chadema imepata hati chafu ya mkaguzi wa mahesabu. Mwenyekiti wake kaiuzia Chadema mafuso kuu kuu kwa zaidi ya million 500 hela za ruzuku za walipa kodi mbona kashindwa kuzuia? Mbona kampa zawadi ya Ubunge wa viti maalum Rose Kamili baada ya kumtelekeza sio ufisadi huo?. Ninachofahamu ni kwamba serikali ya Chadema itakuea na madudu sana kuliko serikali hii ya CCM tazama tu kwa snapshot kama ruzuku za chama zinafujwa vipi tikiwakabidhi National Coffer?
 
Hivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?

I don't think so!

Hivi wewe unaona Slaa anaweza kufanya mdahalo na mtu? kwa lipi zaidi? labda aongelee namna ya kupora wake za watu na kukandamiza watu korodani zao.
 
1. Jamaa afya yake mgogoro. Wanaokula pesa zake hawamwambii ukweli.

2. Jamaa hajui hata kuandaa inspirational speech. He's too average.
 
Tumia Ubongo kufikiria na si Makalio Zzt yule anahoja za usakatonge tuu

kwa kashfa tu bavicha hamjambo yaani hamuwezi kuongea kistaarabu kabisa, jambo la kuwa hata viongoz wenu ili tatizo wanalo. slaa anachoweza ni kubwabwaja tu mbele ya audience basi na uzoefu anao ikizingatiwa kwamba yeye ni padri.
 
MAMBO 10 NILIYOJIFUNZA KWENYE "SANAA ZA MAONESHO" ZA LOWASSA.

By Malisa GJ,

1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, Wanafunzi walisafirishwa, Waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa Lowassa. This is to say ikiwa Lowassa asingetumia pesa huenda uwanjani angekua yeye na familia yake tu.

2. Wengi wanaomuunga mkono Lowassa ni "opportunists". Ni watu wanaotegemea akiingia madarakani awakumbuke. Either awape vyeo au awape unafuu kwenye biashara zao. Hakuna yeyote kwny kundi la Lowassa anayemuunga mkono kwa lengo la kuisaidia nchi.

3. Afya ya Eddo imedhoofu sn kuweza kuwa Rais wa nchi. Alipoingia uwanjani ameshindwa kupanda ngazi za jukwaa, akasimama katikati ya ngazi kwa dakika chache kabla ya kusaidiwa kupanda. Pia anaongea kwa Shida, na mikono yake haina nguvu. Hali hii imesababisha ashindwe kushika microphone alipopewa "mike" na Kibonde.

4. Mkutano wa Lowassa leo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine. Kuna watu wamepata hela ya kulipa mahari kupitia mkutano huu, kuna waliopata mitaji ya kukuza biashara zao na kuna waliopata lift za bure za kwenda Arusha kufanya mambo yao. Hii inaitwa "mbwa kala mbwa"

5. Kutokana na maelezo ya Eddo ni wazi kuwa ana "bifu" na JK. Amekiri kuwa alimpigania sn Kikwete 1995 na 2005 lakini inavyoonekana JK amemsaliti.

6. Akiingia madarakani atalipiza kisasi kwa wabaya wake wote hasa Samuel Sitta, Anthony Diallo na vibaraka wao wote. Ikiwa Eddo atashinda kuna dalili Sitta, Dialo, Makonda, na vibaraka wengine wa CCM wakaishia jela.!

7. Mkutano wa leo ulikua ni mkwara wa kuionesha Kamati kuu ya chama chake kuwa ana nguvu kiasi gani, ili wasijaribu kabisa kukata jina lake wakihofia kukipasua chama.

8. Safari ya matumaini ni safari ya matamanio. Au unaweza kuiita safari ya matumizi. Huwezi kutumia 1.4 bilion for just a single day wakati kuna watu wanakufa kwa kukosa "padadol" ya shilingi mia halafu ukasema ni matumaini. Labda matumaini ya kuuza nchi.!

9. Ikiwa Eddo atashinda Yuko tayari kutumia rasilimali za nchi ili kulipa fadhila kwa rafiki zake waliomuunga mkono wakati wa kugombea. Kwa mfano yupo tayari kumgawia Mengi vitalu vya gesi Mtwara na kuwaacha watanzania wasinufaike na gesi yao kisa tu Mengi alimpa support kwny kugombea.

10. Lowassa ni msanii mzuri wa sanaa za maonesho. Ametumia makundi yote mawili ktk kufanikisha azma yake. Kundi la Maskini na kundi la matajiri.Ametumia maskini kwa kuwaahidi kuwa atawabana matajiri walipe kodi ili kuboresha maisha ya maskini.

Na ametumia matajiri akiwaahidi kuwa atawabana maskini ili wasipige kelele wakati anawagawia matajiri rasilimali za nchi. Hii ni sanaa. Ha hakika hapa Eddo ameitumia vizuri elimu yake ya sanaa ya chuo kikuu cha Dar es Salaa. (B.A in Fine &Perfoming Arts).!

NB: Watanzania hawawezi kuruhusu kumpa nchi hii "msanii". Nchi hii inatakiwa kuongozwa na mtu "real". Na mtu real hawezi kupatikana kwingine nje ya UKAWA.!

#SAY_NO_TO_SANAA
#SAY_NO_TO_CCM
#BE_REAL . #VOTE_FOR_UKAWA .

sasa unataka tumchague PA..DRE mwizi wa mke wa mtu???
 
Daah!! Kweli Slaa anawashika pabaya!! Yaani tangu mwanzo hadi sasa page 7 hakuna mccm yeyote aliyetoa point zaidi ya mipasho!!

Tafadhari, mjibuni mleta hoja kwa hoja! Sio hizo ngonjera zenu!! Dr huwa sio mnafiki, yuko makini na mwenye maamuzi yasiyotetereka!!

Hakika Dr. Slaa ndiye mtu pekee wa kuinyoosha Tz hii!!
 
Nahisi humu ndani kuna watu wana upogo wa akili. Hivi China ndio Tanzania? Miundo msingi ya China iko sawa na sisi? Bila shaka uwezo wako wa kuunganisha dots imekuwa impaired. Nahisi ulifaulu shile kwa mitihani ya kuiba.

definitely yes...!!
 
Thubutu yake! Lowassa ataongea nini sasa?labda aongelee sanaa za maonyesho alizosomea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom