Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Tarehe 23 Desemba 2014, Mwana Chadema mmoja anayetumia akaunti ya CHADEMA In Blood aliweka kwenye mtandao wa facebook, picha mbili za watu ambao iliaminika sana kuwa wangeweza kupeperusha bendera ya Vyama vyao kwenye nafasi ya urais katika uchaguzi uliofanyika mwezi oktoba 2015 ili majina hayo yaweze kupigiwa kura kujua nani anakubalika, moja ya majina ya hayo ni la aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilbroad Slaa na nyingine ilikuwa ya Kada wa CCM na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa.

Matokeo ya kura hizo yalikuwa ni kama yanavyoonekana hapo chini.

Swali langu watu hawa hawa walioonesha kwa kiasi kikubwa kuwa Dr. Slaa ni zaidi na kiukweli ndivyo ilivyokuwa, ndivyo ilivyo sasa na ndivyo itakavyobaki kuwa, leo ndiyo wanaoongoza kumtukana, kumdhihaki na kumfedhehesha Dr. Slaa kupitia mtandao huu huu ambao kupitia kwake walionesha kuwa na imani naye na siyo Lowassa? Wamerogwa na nini? Tunajifunza nini kuhusu mfano huu?
Screenshot_2016-08-15-12-57-09.png
Screenshot_2016-08-15-12-57-33.png
2016-08-15 13.00.52.png
 
Ndio mjue kuwa ccm ni weupe kwa kujenga hoja, yaani tunawageuza tunavyotaka sisi mbele na nyuma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom