mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
Lowassa hawezi kusimama na mtu mnafiki, mzandiki na mzushi kama Slaa
Letu jicho.
Lowassa hawezi kusimama na mtu mnafiki, mzandiki na mzushi kama Slaa
Ulishawahi kuna wagombea urais katika nchi zozote zilizoendelea wamefanya kampeni hadi uchaguzi bila ya midahalo? Au Tanzania ni exceptional ndiyo maana watu wanaweza kumshabikia mtuhumiwa wa ufisadi bila aibuMkuu,unataka kusema atakayeweza kusimama kwenye mdahalo na Dr. Slaa ndio atakuwa kiongozi bora na atakayewaletea watanzania matumaini ya kupata maendeleo wanayoyataka.
Uwezo wa kujieleza katika midahalo ni kipaji na sanaa kama vipaji na sanaa nyingine lakini kamwe haiwezi kuwa kigezo au sifa ya kiongozi bora,mwenye nia ya dhati ya kufanya mabadiliko.
nilikua sijawahi kumsikia lowasa akiongea popote, hata bungeni sikuwahi kumsikia akichangia chochote, lakini kwa hutuba yake ile leo, hakuna shaka yule jamaa ni kichwa maji, hafai hata ukuu wa wilaya achilia mbali urais...
Nampenda Lowasa maana haongei kwa jazba, anajua kile anachoongea na sio mwongo kama fulani eti mfuko wa cement kuwa 5000 kama kiwanda chake vile
Hivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?
I don't think so!
haah haah wanafiki wengi nchi hii,Dr.Slaa ni tamplate tazama ilani yake 2010,yote mmekop na kwa aibu mmeshindwa kutekelezaDr Slaaa Kwan ndiyo mgombea Urais?kweli mie binafs huyo Mzee sijawahi muona Kama Tishio kwa siasa za nchi hii ati Slaaa
tatizo huwa unazingatia dini ya mtuHapo ndio huwa mnakosea Chadema. . . . . .kubisha mpaka ukweli. . . .
Nampenda Lowasa maana haongei kwa jazba, anajua kile anachoongea na sio mwongo kama fulani eti mfuko wa cement kuwa 5000 kama kiwanda chake vile
naona mnaanza kujifariji, too late, safari ya matumaini ndio imeshaanza hivyo!!
View attachment 255872
Sasa unabisha Root?China mfuko wa cement ni 4000/=,Slaa akisema 5000 kwa Tanzania ni feasible....anajua cha kufanya,ni very likely..
Sasa wewe unakuja na stori,unafikiri watu wanakurupuka tu