Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
hawa magamba wanaishia kujiita wanyamwezi tu, usanii mpaka mwisho. Litakuwa ni kosa kubwa sana kumpata rais bila kupitia mdahalo. Ikitokea hiyo ndipo wanaomshabikia watajua kuwa ni lyatonga wa pili.
Tuliona lilivyotusaidia wakati wa Mkapa na jinsi lilivyotugharimu kwa JK.
Watanzania tusivyo serious tunaweza kuruhusu hili tena na kuuziwa mbuzi kwenye gunia maana tangia ratiba ya tume ya uchaguzi itolewe nilitegemea pia kuona ratiba za midaharo japo mitatu kutoka kwa wadau lakini hakuna hadi sasa!
 
lowasa bila nguvu ya pesa hana lolote

Kwa kifupi,Lowassa hana talent ya uongozi bali anafaa zaidi kuwa kamanda wa jeshi wa kutoa na kusimamia amri lakini si kuwa kiongozi wa kisiasa.

Makamanda wa ngazi za juu jeshini sidhani kama wanakuwa na mazoezi magumu sana hivyo naamini angemudu tu kuwa kamanda jeshini.
 
Naona mnaanza kujifariji, Too late, safari ya matumaini ndio imeshaanza hivyo!!
MMGL2710.jpg
 
Mkuu,unataka kusema atakayeweza kusimama kwenye mdahalo na Dr. Slaa ndio atakuwa kiongozi bora na atakayewaletea watanzania matumaini ya kupata maendeleo wanayoyataka.
Uwezo wa kujieleza katika midahalo ni kipaji na sanaa kama vipaji na sanaa nyingine lakini kamwe haiwezi kuwa kigezo au sifa ya kiongozi bora,mwenye nia ya dhati ya kufanya mabadiliko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom