Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

Nani unaona anafaa kuwa Rais kati ya Wawili hawa?

  • Edward Lowassa

    Votes: 103 13.0%
  • Dr. Willibrod Slaa

    Votes: 640 80.6%
  • Wote hawafai/sijaamua

    Votes: 51 6.4%

  • Total voters
    794
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.

Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
803
Reaction score
472
Heshima mbele sana wakuu,

Najaribu kuichungulia 2015 miezi ya october endapo mchuano utakuwa ni kati ya hawa vinara wawili ni nani atakuwa na nafasi kubwa ya kuukwaa urais wa nchi hii.

Wote ni wanasiasa wa siku nyingi wenye heshima zilizotofautiana kutokana na historia na nyadhifa tofauti walizowahi au wanazozikalia hivi sasa,

Je come 2015 nani ataibuka kidedea endapo team hizi zinakutana kwenye viwanja sawa vya haki na usawa, bila zengwe wala mizengwe.
 
Hii kitu bado ni ngumu sana mkuu Sr. Magdalena

Kuna uwezekano mkubwa sana kwa vyama vyote hivi kupandisha sura ngeni kabisa kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Unaonaje kama kwa mara ya kwanza CDM wapandishe mtu kutoka znz, Hamad Rashid kwa mfano?

Wasalaam
 
Kama ni kwalinganisha Dr. Slaa na Lowasa basi ni ukweli uliowazi kuwa Dr. Slaa atachukua nchi. Ila tukija katika mizania inayoangalia usawa hiyo comparison sio sahihi hata kidogo. Dr. Slaa ni mzalendo kwelikweli na mpinga ufisadi kwa maneno na vitendo wakati Lowasa ni Fisadi aliyekubuhu. mimi nadhani ungempambanisha Dr. Slaa na mtoto wa mkulima (Pinda) hapo angalau tungekuwa na mizania sawa kwa sababu mtoto wa mkulima hatujasikia kashfa za ufisadi kwake.
 
Hatuwezi kuwa na rais asiyelipa kodi, kati ya hawa kuna mmoja analipwa posho ya 7m ambayo haikatwi kodi.
 
Heshima mbele sana wakuu,

Najaribu kuichungulia 2015 miezi ya october endapo mchuano utakuwa ni kati ya hawa vinara wawili ni nani atakuwa na nafasi kubwa ya kuukwaa urais wa nchi hii.

Wote ni wanasiasa wa siku nyingi wenye heshima zilizotofautiana kutokana na historia na nyadhifa tofauti walizowahi au wanazozikalia hivi sasa,

Je come 2015 nani ataibuka kidedea endapo team hizi zinakutana kwenye viwanja sawa vya haki na usawa, bila zengwe wala mizengwe.

ukisikia mirembe wagonjwa wameanza kutumia computer ndio hii..... sijui modem zimefadhiliwa na nani sasa:A S embarassed:
 
mmeshaambiwa kuwa kuwaza urais sasa hivi ni utoto wa moyo. Huu ni muda wa kupigania utekelezwaji wa ahadi
 
Utakuwa ni mpambano wa maswahiba wakubwa, penalt zitaamua!!
 
Hii kitu bado ni ngumu sana mkuu Sr. Magdalena

Kuna uwezekano mkubwa sana kwa vyama vyote hivi kupandisha sura ngeni kabisa kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Unaonaje kama kwa mara ya kwanza CDM wapandishe mtu kutoka znz, Hamad Rashid kwa mfano?

Wasalaam

Hamadi Rashid? Labda Mwingine maana huyu aliwahi kuikashifu cdm
 
Hii kitu bado ni ngumu sana mkuu Sr. Magdalena

Kuna uwezekano mkubwa sana kwa vyama vyote hivi kupandisha sura ngeni kabisa kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Unaonaje kama kwa mara ya kwanza CDM wapandishe mtu kutoka znz, Hamad Rashid kwa mfano?

Wasalaam

@ washington naongea direct na wapigakura mkuu.

CDM waweke mzenji huku wengine wakipandisha mwanamama?..au

Umenikumbusha jinsi six alivyopigwa chini kwa "sasa ni zamu ya beijing"
 
Kama ni kwalinganisha Dr. Slaa na Lowasa basi ni ukweli uliowazi kuwa Dr. Slaa atachukua nchi. Ila tukija katika mizania inayoangalia usawa hiyo comparison sio sahihi hata kidogo. Dr. Slaa ni mzalendo kwelikweli na mpinga ufisadi kwa maneno na vitendo wakati Lowasa ni Fisadi aliyekubuhu. mimi nadhani ungempambanisha Dr. Slaa na mtoto wa mkulima (Pinda) hapo angalau tungekuwa na mizania sawa kwa sababu mtoto wa mkulima hatujasikia kashfa za ufisadi kwake.

Mkuu kwa hiyo Pinda ni bora kuliko EL ili chama chake kimpitishe na baadaye akutane na Dr come 2015?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom