Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,980
- 5,797
Hivi kweli Lowassa anaweza kushiriki mdahalo wa uraisi na mtu kama Dr.Slaa na akamudu kujibu hoja na changamoto zote zitakazojitokeza katika mdahalo huo?
I don't think so!
Sio Lowassa tu, hakuna yoyote ndani ya CCM anayeweza kusimama kwenye mdahalo, hata CCM wenyewe hawako tayari kusimisha mgombea wao yoyote kwenye mdahalo dhidi ya Dr. Slaa.
Vv