ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 19,805
- 28,419
Wabunge wa fisiemu wanapiga makofi mengi. Hii ngoma imeshapitaMbona like wameshapitisha tayari
Wabunge wa fisiemu wanapiga makofi mengi. Hii ngoma imeshapitaMbona like wameshapitisha tayari
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.
Umeupima je huo uzuni?Kinachonipa wasiwasi wabunge wote na PM wana huzuni!!!!why????
Ki vip mkuu?Mifumo yote ya Tehama itakayosimikwa itasomana na mifumo tote ya serikali....
Hapo tutakuwa uchi kama Taifa kwani wadukuaji hawatotuacha salama
Utaanza na tv?Mbunge wangu ajue tu kuwa nafatilia kwa makini sana kutoka Kijiji cha Nyankoronko kwa uzuri kabisa.
View attachment 2652169
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.
adhabu ndogo sana hii, yaani tunauzwa kwa wakoloni wetu wa karne ya 14 kabla ya wajerumani na waingereza.Mbarawa ndio anastahili kunyongwa kabisa, huyo mjinga ndie alieweka saini yake kwenye ule mkataba wa hovyo.
Mkuu kulikoni😂Mbunge wangu ajue tu kuwa nafatilia kwa makini sana kutoka Kijiji cha Nyankoronko kwa uzuri kabisa.
View attachment 2652169
Wanatabirika sana. Hoja itapita. Wakina Halima wata abstain. CCM wote ( pamoja na wale ambao watakuwa wakali sana na kuuliza maswali magumu wakati wa majadiliano) wataunga mkono. Ndivyo itakavyokuwa.Mungu aingilie kati suala hili, wabunge wetu hawatabiriki.
Mbona viti vipo tupu WABUNGE Wameenda wapi? Au wamewaacha darasa la Saba ndio Kila siku wanaongea na kukandya wasomi?
Napenda mngesoma mkataba vizuri kabisa badala ya kusikiliza porojo za mbarawa labda watuambie kuwa ule mkataba ulio sainiwa ni fakeMaana DP World wanapewa Berth 1-7 tu
8-11 zinabaki TPA kama kawaida
Mafuta, Gesi, Magari yanabaki TPA
Ulinzi unabaki kwa Tanzania
Mtwara na Tanga hazitahusika
Unaowaamini hawa?Manufaa
Kupunguza muda wa Meli kukaa Nangani kutoka Siku 5 hadi Siku 1
Muda wa kushusha Makasha utakuwa siku 2
Gharama za kusafirisha kupungua
Gharama za usafirishaji utatoka dollar 12,000 hadi 6000
Kuongezeka kwa Tani za mizigo
Kuongezeka kwa mapato kutoka Tril 7 hadi 29
Naomba Mungu isiwe hivyo😭😭😭Wanatabirika sana. Hoja itapita. Wakina Halima wata abstain. CCM wote ( pamoja na wale ambao watakuwa wakali sana na kuuliza maswali magumu wakati wa majadiliano) wataunga mkono. Ndivyo itakavyokuwa.
Amandla...
Shetani anavaa gauni la harusi halimuondolei kuwa shetani.Unaowaamini hawa?