Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Mkataba wa Dp world upo sawa, wasioutaka ni mafisadi waliokuwa wanapiga bandarini. Mafisadi wote wapuuzwe


Nawasilisha
Bora wewe akili yako iko huru kupambanua mambo. Wengine akili zao zimehifadhiwa ndani ya mifuko ya wanasiasa uchwara, ambao ndio wanawapangia wao cha kuamini.
 
DPW tunakukaribisha sana Tanzania, most welcome in Tanzania feel at home, jisikie uko nyumbani, usitishike maneno maneno ni kawaida yetu sisi waswahili.
 
Hili shirika la umeme Tanzania na lenyewe tulitafutie mwekezaji kama dpw ..maana nikama mauza uza hayaishi Huko, upigaji ni mwingi kuliko ufanisi ..tafadhali mlioshika mpini binafsisheni Hilo shirika
 
Back
Top Bottom