Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.

Mifumo yote ya Tehama itakayosimikwa itasomana na mifumo tote ya serikali....

Hapo tutakuwa uchi kama Taifa kwani wadukuaji hawatotuacha salama
 
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.

kwa haya makofi ya kina msukuma, kibajaji, lusinde, na wengine walioishia lasaba mkataba umepita, CCM ni ile ile.
 
DP world ndio kampuni pekee yenye uzoefu katika uwekezaji wa Bandari, imewekeza katika nchi 6 ktk bara la Afrika na pia katika Bara la ulaya.

hii ni vita kati ya Makampuni mengine yaliyo kosa nfasi ya kuwekeza katik bandari yetu dhidi ya DP World.

tuwe makini tusicheze ngoma tusio ijua.
DP world ndio kampuni sahihi katika uwekezaji wa Bandari yetu.
 
Back
Top Bottom