Je, DP WORLD wameishaanza kazi?

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Ninakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi gani tangu waanze kazi?. Je ni maboresho gani gani wamefanya tangu waanze kazi?.
 
Tunasubiri majibu baada ya matarajio makubwa kwenye bandari yetu.
 
Ninakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi gani tangu waanze kazi?. Je ni maboresho gani gani wamefanya tangu waanze kazi?.
HUTAJIBIWA NI UPIGAJI TU TANZANIA shamba la Bibi

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Ninakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi gani tangu waanze kazi?. Je ni maboresho gani gani wamefanya tangu waanze kazi?.
Kabla DP WORD haijaja uliwahi kuuliza wanaingiza Tsh ngapi kwanza?

Watanzania watu wa kudandia mada. Mtu unatoka Nangurukuru huko kitongoji cha Kazuramimba, elimu yako sekondari ya kata, leo unataka kuifundisha Serikali yenye wasomi namna ya kuendesha bandari.

Wakati mwingine tuache kudandia mada za wanasiasa, watatupotosha bure.

Fanya shughuli zako, kama Serikali imekosea kaihukumu kwa Sanduku la kura mwaka 2025
 
Utaishia kuambiwa mikataba ni siri, na huenda ni dili la wajanja wachache...
 
Wameanza kazi
 
Attachments

  • 9C974B7C-C8B6-4AEC-8B28-11643926036B.jpeg
    9C974B7C-C8B6-4AEC-8B28-11643926036B.jpeg
    181.4 KB · Views: 2
Ninakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi gani tangu waanze kazi?. Je ni maboresho gani gani wamefanya tangu waanze kazi?.
Ndio
 
Back
Top Bottom