Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,757
Nataka kusema hivi WB imeitaja Tanzania kuwa lower middle income nation sawa na KENYA kwa Sasa...Unataka kusema nini?
Mpaka JPM atakapoondoka tutakuwa UPPER MIDDLE INCOME zaidi ya Kenya aaamin,
Nakwambieje,hebu fikiria mh.Lowassa angeshinda URAIS,
TUNGEKUWA HAPA KWA WB?