Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Umekwisha waeleza. Kama wana akili warejeshe siku hiyo hiyo na muda huo huo wa CCM atakaporejesha.
Kuna kila dalili hata NEC fomu zake wakishapokea za CCM basi ofisi inafungwa na kila anayerudisha fomu mkurugenzi wa NEC hatakuwepo ofisini
 
Kwanini kuna tofauti kubwa hivyo ya no ya wadhamini mikoa mingine elfu 60, 80, mpaka kilo pengine buku 5 nk?
 
Mbona mara kadhaa amelalamika hadharani kuwa kazi ya urais ni ngumu kama ingewezekana akae miaka miwili angeondoka sasa imekuwaje tena anarudia kutaka kazi ngumu anayo ilalamikia mara kwa mara?
 
Mbona mara kadhaa amelalamika hadharani kuwa kazi ya urais ni ngumu kama ingewezekana akae miaka miwili angeondoka sasa imekuwaje tena anarudia kutaka kazi ngumu anayo ilalamikia mara kwa mara?
Kazi ya uenyekiti mbowe ni ngumu lakini bado TUNAMUAMINI kwa ule uwezo wake akae tu miaka 30 ijayo!!
 
Deal Done!!!
Nimuone Mtu Mwingine Anampiga Aliyevaa Kijani
Ataona Cha Mtema Kuni!!!
 
Eti mtu anasema magufuli hajui siasa....mtu kaingia serikalini na kuwa naibu waziri pamoja na lukuvi miaka MINGI kabla hata ya mtoto wa mkulima mh Pinda....
 
Back
Top Bottom