Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Unataka kusema nini?
Nataka kusema hivi WB imeitaja Tanzania kuwa lower middle income nation sawa na KENYA kwa Sasa...

Mpaka JPM atakapoondoka tutakuwa UPPER MIDDLE INCOME zaidi ya Kenya aaamin,

Nakwambieje,hebu fikiria mh.Lowassa angeshinda URAIS,

TUNGEKUWA HAPA KWA WB?
 

Furaha?? Nitaaminije ikiwa hata wewe kwako hakuna hiyo Furaha??

Yeyote mwenye kutaka kuaminiwa, ni lazima aiheshimu kwake Kwanza,

Yaani unalazimisha tukuone wewe ni Bora Wakati hata mambo ya kwako Tu kuyasimamia yamekushinda?

Huna ofisi wewe, huna Democrasia wewe, mlevi wewe, ngada nazo watu wakusemasema wewe, mkeo wamfanyia mazoezi tu ili ukafanye kweli kwingine wewe, utaaminikaje sasa? Unavuna hata mahali usipopanda wewe, Wabunge wako wawatoza ushuru wewe, Je ukiwa msimamizi wa hazina, si utameza pesa badala ya Kula pesa?

Ni inasemekana sijui ni kweli
 
Rais Magufuli akirejesha fomu kwa nafsi nyingine tena, 2020-2025.

 
Kwa uchache tu mchakato wa kumpata mgombea urais kwa ticketi ya CCM umeonesha taswira mbaya ya kupokwa kwa demokrasia bila aibu yoyote. Taswira iliyojitekeza ni ya ukosefu wa demokrasia ndani ya CCM na Tanzania kwa ujumla.

Viongozi wakuu wa CCM wameonesha kutokuwa tayari kushindana kwa hoja ndani ya chama ambayo ni ishara ya kutokuwa na ushindani wa hoja katika ngazi ya taifa baina ya vyama na mwisho wake ni uchaguzi usio wa haki wala uhuru.
 
Naona Simiyu wameamua kutuonyesha kuwa hawapo tayari kuendelea na ccm
 
Naona wana mtwara wameionyesha dunia kwa wana lao jambo pia Simiyu na Katavi.
 
Back
Top Bottom