Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
[emoji3514][emoji3514]Nyie Arse88 ndio mmeshakua mafootball specialist, kw hiyo kushinda kwnye mechi za majaribio ndio mnajiona mmeshabeba ubingwa. Ligi ikianza ndio mtajua kama hizo combination zitafaa au hazifai.
HahaaaaNa huyo kocha wenu masikio atakapoondoka ndio mtakapojua timu za mkiani zinaishi vipi..
We ushawahi kuona wapi boss mkuu akaenda kuomba kupunguziwa bei mnadani?[emoji16]
Sasa hivi tupo kwenye World Cup ebu tupumzishe haya ya EPLWewe jamaa kwa comedy tu sikuwezi
Du jamani mbona kikosi kizima kinaumwa? Mkosi gani huu?Wachezaji walioko Injuries na Return Dates kwa leo 18/11/2022
Total injuries = 9
- Kepa Arrizabalaga, majeruhi anarudi 26/12/2022
- Reece James, majeruhi - No return date
- Wesley Fofana, majeruhi- No return date
- Ben Chilwell majeruhi- 27/12/2022
- N'Golo Kante, majeruhi anarudi 18/02/2023
- Ruben Loftus-Cheek, majeruhi- No return date
- Carney Chukwuemeka majeruhi- No return date
- Raheem Sterling - Ilness - no return date
- Armando Broja - majeruhi - no return date
Hahaha! Mna ndoto za kijinga nyie....endeleeni kuota 😀 😀 😀 😀Uefa tutachukua next season, Uefa + EPL.
Mkuu waache wapumzike, wameteseka sana hizi KENGEQatar vuweni vinyago tumewajua nyie ni Chelsea.
Kwani nyie mmecha kuteseka? ukishakua shabiki wa Arse888 ww ni wakuteseka mpk kufa.Mkuu waache wapumzike, wameteseka sana hizi KENGE
One of the best defenders kuwahi kucheza pale Chelsea , ukuta wa John Terry ,Gary cahil na Ivanovic ulikuwa ni ngome ,hakatizi pimbi yeyoteGary Cahill atundika madaluga akiwa na umri wa miaka 36, Alipokuwa Chelsea alikuwa one of best CB na Captain wa Chelsea. Tunakutegemea siku moja utarudi Darajani, nyumbani kwako.
Congratulations on an amazing career,
@GaryJCahill
!
View attachment 2418672
Wewe Safari hii litimu lenu lisipomaliza nafasi ya 15 ,sijuiKwani nyie mmecha kuteseka? ukishakua shabiki wa Arse888 ww ni wakuteseka mpk kufa.
Tatizo Kuna Hawa Wana kelele Sana,Mkuu waache wapumzike, wameteseka sana hizi KENGE
ChelKenge vipi kwenye Ligi?Arse88 pre season ndio hua wakati wao wa kufurah na kunenepa.
Wapiga ramliArsenal wanakuwaga wakali kabla ligi haijaanza, ikianza tu wa kwenda kulima wataenda, wa kwenda kuvuna wataenda na wakwenda field wataenda. Hiyo timu Wenga aliishndwa sijui Arteta ataiwezaje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni fitness match tu kama mazoezi
Chelsea ikianza ligi ni timu nyingine
Ila hii ni pima maji, tunatakiwa kufanya la ziada ili angalau tuwe na uhakika wa kubaki top4
Hayo tu
Wewe ulijiandaa kisaikolojiaNahitaji kukaaa kimya nikiona Chelsea msimu huuuu ikihangaika na kushika namba 10 naumia sana na matajiri wabahili na TT mweupe asye jua nni anataka kwa wakati gani
Wewe uliona mbali sanaMsimu ujao kwa hicho kikosi, Chelsea wanaweza kuwa midtable club.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Oyaa Chelsea ..Huu msimu wetu Shusha vyuma hapo kazi ianze weekend hii tuzibue watu mitaro.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]This is too much
Todd Boehly tacticts zake ndio ilikuwa avizie mwishoni mwa dirisha afunge mabao ya ushindi. Kila mchezaji mzuri sasa anahusishwa kuja Chelsea, Hadi tetesi zinaumiza kichwa maana ni nyingi mno. Mwisho wa dirisha tunaweza jikuta tumeleta vifaa 10 vya kuotea mbali
- Chelsea wanang'ang'ana na Cucurela
- Fofana wametoa paundi mil 66 na Leicester wamekataa na bado Chelsea wanaboresha
- Aub mazungumzo yameanza
- De Jong mazungumzo yanaendelea
- Depay yuko kwenye list naye
- Cristiano bado yuko kwenye tetesi za kusajiliwa dakika za lala salama
- Michael Edwards naye anawindwa
- Rabiot naye katajwa
Ajengewe sanamuKama tukiweza kuwaleta darajani Sterling, Koulibaly, Cucurella, Fofana, De Jong na Chukwuemeka wote katika dirisha hili, basi inatosha kujenga sanamu ya Todd Boehly pale darajani