Yaani TT alipokua anahojiwa baada ya game na ATM.
Alisema hakuna timu inayotaka kucheza nao kwa sasa na akasema kua timu yake haipaswi kumuogopa yoyote....
Hizi ni kauli nzito sn anatoa saizi huyu TT.
Na unajua wakati anakabidhiwa timu baada ya kufukuzwa Lampard malengo makuu aliyopewa TT ni kuhakikisha Chelsea inamaliza ndani ya top four kitu ambacho mpk saizi ameshafanikiwa....
Na kutokana na kikosi chake kua ktk form mzuri sasa tones imeanza kubadilika kutoka kwake yeye TT na wachezaji kwa ujumla. Wanataka makombe yaani wanataka kushinda FA na UEFA.
Swali linakuja kuuuuubwa kwamba je TT alishindwa kushinda UEFA akiwa na kina Mbape na Neymar je ataweza kuchukua kombe na hii squad ya Chelsea yenye wachezaji wa kawaida?????
Kazi kwetu wana Chelsea wenzangu nini maono yenu?