lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
mfumo hauna shidaKocha nae huu mfumo wa mabeki wa 5 aachane nao msimu ujao aongeze nguvu kwenye viungo ubunifu uwe mkubwa pale kati mibeki mingi uoga tu na bdo tubaruhusu magoli kizembe
mfumo hauna shidaKocha nae huu mfumo wa mabeki wa 5 aachane nao msimu ujao aongeze nguvu kwenye viungo ubunifu uwe mkubwa pale kati mibeki mingi uoga tu na bdo tubaruhusu magoli kizembe
View attachment 2208712
Na hii ni offside ya wapi vile?
Ya mkono ulozodiView attachment 2208712
Na hii ni offside ya wapi vile?
Hii ya Aug 12, 2021 unakuja kuibua leo ulikuwa wapi aisee!
Tuombe mustakabali WA kuwapata wamiliki wapya ukamilike..then fungu la pesa liwekwe Kwa ajili ya TT asajili wachezaji anaoona wanafaa sio sajili km z kina bakayoko, Drinkwater morata n.k.....Ni kwel maana yake vetting yenu ilikuwa ya hovyoHii ya Aug 12, 2021 unakuja kuibua leo ulikuwa wapi aisee!
Wolves ndio hatar hapo ,ameshapoteza mech 4, anaijua low block vzr ukizingatia kwasasa Chelsea kufunga Ni sufurihapo wa kumuogopa ni leeds yuko pabaya kama Everton, wolves hana cha kupambania
We sema ww ndio ungependa wolvs washinde, ila jua kua chelsea sio mbovu kama watu wanavyozani, mpira upo mwingi tu. Hata arse88 mlitufunga kw uzembe w mabeki, na sio kwamba labda kwamba mlicheeeza, mana tuliwazid kila kitu. Pia na kw Everton ni hivyo hivyo uzembe wa beki.Wolves ndio hatar hapo ,ameshapoteza mech 4, anaijua low block vzr ukizingatia kwasasa Chelsea kufunga Ni sufuri
Wolves akishinda anaenda Europa conference league,
Haha Eti mnafungwa kwa uzembe wa mabeki,We sema ww ndio ungependa wolvs washinde, ila jua kua chelsea sio mbovu kama watu wanavyozani, mpira upo mwingi tu. Hata arse88 mlitufunga kw uzembe w mabeki, na sio kwamba labda kwamba mlicheeeza, mana tuliwazid kila kitu. Pia na kw Everton ni hivyo hivyo uzembe wa beki.
Timu zote zilizobaki sijaona w kumfunga chelsea, endelea kuomba mabek waendelee kufanya makosa hapo ndio itakua njia yako y kuingia top 4.
Pia usisahau na hii
Mzee wawazie Newcastle na spurs...yaan unawawazia Chelsea ilhali Una hizo mechi ambazo huchomokiWolves ndio hatar hapo ,ameshapoteza mech 4, anaijua low block vzr ukizingatia kwasasa Chelsea kufunga Ni sufuri
Wolves akishinda anaenda Europa conference league,

Azpilicueta katufanyia mengi makubwa na atabaki kuwa Legend wa Chelsea ila sasa basi atupishe tuendelee na maisha bila yeyeIndividual mistake zimezidi sasa ni kama tunawapa wapinzan magoal ya bure, ukimtoa silva na rudiger, n james hawa waliosalia nyuma mda wowote wanachoma
Hao wote waondoke