Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

.
IMG_20210812_091424_767.jpg


Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Kama hamjajua ..

Chelsea ni timu ya kawaida sanaaa ...

Kiufupi mnabahatishaa no doubts ,mnabahatishaa tu ...

Huwezi kubeba league kwa kubahatisha
Mkuu mbona Sisi hatuna shida na wewe kwanni u natafuta ugonjwa wa pressure bure? Sisi shida yetu makombe tu.

Aidha tushinde kwa kubahatisha au kuliiba fresh tu Sisi lengo ni makombe. UEFA champions league tumebeba mbele yako

UEFA Super Cup tumebeba....bado Club World cup
 
Kama hamjajua ..

Chelsea ni timu ya kawaida sanaaa ...

Kiufupi mnabahatishaa no doubts ,mnabahatishaa tu ...

Huwezi kubeba league kwa kubahatisha
Ww jamaa inatakiwa upigwe na kitu kizito kichwani au at your back ili kurudisha settings sawa
 
Jana mabeki walifanya uzembe sana kwenye goli la kusawazisha

Rudiger bado akili yake haikurudi kikamilifu kutoka likizo za EURO 2020, kafanya kosa ambalo liliingarimu timu nzima mpaka kutupeleka kwenye extra time na penalti shoot out

Christensen, Jorginho, Rudiger hasa hao watatu hawakufanya marking ya kutosha kwa Gerard Moreno

Mendy naye pamoja na kufanya save za maana jana bado yuko likizo, kafanya mistakes mbili ambazo zingezaa goli
Kule nyuma aliyekuwa serious ni Chalobah, kati ni Kante kabla hajatolewa

Kule mbele nako forward wetu hawawezi kuua mchezo kabisa
 
Sasa kwanini Chelsea tu ndo ibahatishe!?, Kwani mandazi United au Arse8 hamna bahati!?
Kwa tunaoangalia mpira live ,sio watu wa live score ...

Chelsea haina kitu ,inabahatisha tu ,niamini Mimi ...

League huwezi chukua kizembe namna hio ,wanaume tu ndio wanachukua league ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom