Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Goli la Benzema, Nketiha na Richardson ...... ni press gani zile kama sio ushuzi wa beki.
Sio kila timu ikifungwa ni uzembe aisee.
Dah ww jamaa unaamin Yale magoli wamepewa tu,

Nyie Kai aliposhuka kiwango katika ushambuliaji bas mmepoteana ,maana Lukaku Ni mzigo

Mkipigwa goli 1 watu wakiweka ukuta mmeisha,

Usiwabeze wolves ,low block wanaijua ,usiombe wakutangulie goli
 
Werner ni mchezaji wa ajabu sana, mbio zake zinamsaidia, ila ni mmoja wa wachezaji EPL asiyetumia akili hata kidogo
Angechanganya akili na uwezo wake wa kukimbia angekuwa mchezaji hatari sana EPL. Akiuzwa ni sawa tu, EPL hataweza labda aende kwenye ligi zile legelege
Chelsea ndo mbovu imeshindwa kutumia uwezo wa Lukaku na Werner wala shida sio Werner
 
Chelsea ndo mbovu imeshindwa kutumia uwezo wa Lukaku na Werner wala shida sio Werner
Chelsea ndio nani?
Miwe mnachangia mkiwa mnajitambua
Chelsea imebeba UEFA Lukaku na Werner wapo hivi hivi
Chelsea ipo hapa ilipo mabeki ndio wanafunga. Huyu Werner hatumii akili kama unamfuatilia. Mbio zake ndio zinamsaidia. Lakini chances anazopoteza zinauma sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom