Lukaku anasaini lini??
Ameenda kwa mkopo, tho wengine wameuzwa kwa sabab hawakutaka kusain mkataba, mchezaj pekee aliyetoka academ bila kwenda kwa mkopo ni CHO, hawa wengine wakapate uzoefu kwanza + muda wa kuchezaKuna tatizo gani hapo academy/Chelsea mbona madogo wanaondoka sana.?
Sasa Si Bora aende akapate game time Kwa umri wake Mzee.....na sio kuishia kucheza game z carabao au FA Tu tena hatua z mwanzo.....Kuna tatizo gani hapo academy/Chelsea mbona madogo wanaondoka sana.?
Ameenda kwa mkopo, tho wengine wameuzwa kwa sabab hawakutaka kusain mkataba, mchezaj pekee aliyetoka academ bila kwenda kwa mkopo ni CHO, hawa wengine wakapate uzoefu kwanza + muda wa kucheza
📌Sasa Si Bora aende akapate game time Kwa umri wake Mzee.....na sio kuishia kucheza game z carabao au FA Tu tena hatua z mwanzo.....
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Habari ndio hiyoSasa Si Bora aende akapate game time Kwa umri wake Mzee.....na sio kuishia kucheza game z carabao au FA Tu tena hatua z mwanzo.....
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mmepigwa ninyi kwa sababu hamkuweza kumsainiLukaku tumepigwaaa
Liverpool haiwez nunua wachezaji kama Lukaku kwa bei ya kipuuzi kama hiyo.Mmepigwa ninyi kwa sababu hamkuweza kumsaini
Hamna pesa, periodLiverpool haiwez nunua wachezaji kama Lukaku kwa bei ya kipuuzi kama hiyo.
Kinachofanya uwashwe washwe ni Nini?Liverpool haiwez nunua wachezaji kama Lukaku kwa bei ya kipuuzi kama hiyo.
Hata wewe unaweza kutuambia kazi yako ya kuosha magari, haukatazwi.Ulitaka kutuambia kazi yako ya uchimbaji pambana mkuuu





Utakuja kufia kwenye mashimo huko ,utuleteee msiba mchimba chimvi weweHata wewe unaweza kutuambia kazi yako ya kuosha magari, haukatazwi.![]()
Sioni wa kumzuia pale man uLukaku kama Lukaku ..makunyanzi wajipange..