Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Naiona sare
Sare ya nini kwa mfano?
Naiona sare
Kocha nae huu mfumo wa mabeki wa 5 aachane nao msimu ujao aongeze nguvu kwenye viungo ubunifu uwe mkubwa pale kati mibeki mingi uoga tu na bdo tubaruhusu magoli kizembeMsimu uishe tuu tujipange upya (Usajili + mifumo + Style)
Aisee kweliHope umekosea uzi mkuu, now tuko na marehemu hapa tunamfunga mfungo wa peremende
Hii picha kali sana
Haaaaaaah haaaaaaah , kujigamba hakufai kabisa, yuko hali gani Jamani?Ambangile " nilisha sema na naendelea kusema ,atakaye maliza juu ya Chelsea ndio bingwa ,kwa Sasa Chelsea ni tishio kubwa Sana sioni wa kumfunga kabisa ,"""' November 12 ,2021 muda saa 10:36 kipindi Cha sport arena wasafi fm "
Maake kwanza nicheke kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kuna game mbili anapoteza points hapoTHE BLUES NEXT FIXTURES
[emoji117] Wolves
[emoji117] Leeds
[emoji117] Leicester
[emoji117] Watford
Ambangile " nilisha sema na naendelea kusema ,atakaye maliza juu ya Chelsea ndio bingwa ,kwa Sasa Chelsea ni tishio kubwa Sana sioni wa kumfunga kabisa ,"""' November 12 ,2021 muda saa 10:36 kipindi Cha sport arena wasafi fm "
Maake kwanza nicheke kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe zako hupotezi, sio!?Naona kuna game mbili anapoteza points hapo
Mimi hata nifungwe zote chelsea hanipati