Mendy asingedaka penati hata moja mbona hilo liko wazi?
Labda kama hufatilii.
London is blue 💙💙💙aukuchekigi game ya Frankfurt ndo maana ila kama ulichek auna aja ya kuogopa ila mendy kwenye penalt n degea mweus
View attachment 1889050
😂😂😂 Mm bado nna ugomvi nae, ngoja labla msimu huu akipewa nafasi na akijirekebisha bc na mm pia ntamsamehe 😁😁Kepa nimemsamehe makosa yake yote.
Hyo ni tactical sub sio km nyie manyumbu mnakumbatia li Degea Tu Hadi linawachomesha wkt mna Yule kipa muargentina mzuri Tu WA penaltyKepa Arizabalaga kaingia ili akafungwe vizuri

Sawa nabii uchwaraNarudia tena utabiri msimu huu Tuchele wenu ataboronga ile mbaya hizi game zake za bahati nasibu ka mali ya ndagu hatoboi walai msimu huu.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app

Narudia tena utabiri msimu huu Tuchele wenu ataboronga ile mbaya hizi game zake za bahati nasibu ka mali ya ndagu hatoboi walai msimu huu.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app



Nadua tena na tena, tusikimbiane humu



Ebu rudia tena na uongeze sauti!!Narudia tena, musije kimbiana humu, ohoo!
Kuna kiumbe kinaitwa Moreno, hana maana kabisa.
Nilimchukulia poa huyu anaweza mkata namba mtu ..Ila huyu chalobah ni mtu
Huwezi kua na bahati huku ukiwa umelala usingizi.Leo Chelsea mnabahati sana.







Kunywa pain killer mzeeWalee wa Villarreal tujuane mapema kabisa ....
Pigaaa hawa kuku wa blue bahariiiiiiiii
Hukosi neno mchimbachumviKama hamjajua ..
Chelsea ni timu ya kawaida sanaaa ...
Kiufupi mnabahatishaa no doubts ,mnabahatishaa tu ...
Huwezi kubeba league kwa kubahatisha![]()