Halafu wenyewe wanatamba kinoma kua ni mabingwa wa gunia.Hii timu ya kipumbavu sn.
Angetupa goli, ndio bahati yetu mbaya. Hadi DeGea anamhofuHalafu wenyewe wanatamba kinoma kua ni mabingwa wa gunia.
Tena bahati yao leo beki nguli na ghali kuliko beki yoyote duniani hajapangwa, angekuwepo Le Captain Maguire hawa kenge wa darajani wasingepata hata hilo goli moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii timu ya kipumbavu sn.
Hii mikenge ya darajani haina uwezo wa kuifunga United hata timu letu likiwa bovu kiasi gani.Ningeshangaa hadi cheltako kweli ningejua kweli nimeisha kwakweli.[emoji1787][emoji1787]
Nyie wavaa Blauzi msimu huu pamoja na ubovu wa timu letu ila hamna jeuri ya kutufunga.Angetupa goli, ndio bahati yetu mbaya. Hadi DeGea anamhofu
Hivi unaweza ukawa mwanaume kamili ukasimama mbele ya wanaume wenzako ukakaza na msuli wa matako ukamwambia mwanaume mwenzako kabaatisha? Wewe ulishindwa kubahatisha?Kama angekuwepo Roman bado kiongozi wa Chelsea angemfuta kazi kocha Tuchel May hii!
Tuchel hana cha kujivunia zaidi ya mafanikio ya kubahatisha ya mwaka jana.
Hata kocha Di Mateo alichukua UCL
Nyie ni bure kabisa hata nyumbu mmeshindwa kumfunga home and away?bure kabisaKatika Mechi 5 zilizobaki, tukishinda mechi 3 tuu kwa magoli mengi tunamaliza TOP 4.
Hapo umechukulia kuwa Spurs na Arsenal watafunga mechi zao zote, imposibleKatika Mechi 5 zilizobaki, tukishinda mechi 3 tuu kwa magoli mengi tunamaliza TOP 4.
Tulitegemea Chelsea kukutana na upinzani mgumu kwa timu dhaifuHii mikenge ya darajani haina uwezo wa kuifunga United hata timu letu likiwa bovu kiasi gani.