Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Vs Everton
-------- WERNER ---- KAI ----- MOUNT ----------
ALONSO ---- JOGNHO ---- KANTE --- JAMES
--------- RUDGER ------ SILVA ----- AZPI -----------
[emoji117] Everton wapo kwenye mstari wa kushuka daraja. Hizi mechi za mwishoni wamekuwa wanacheza kwa kujituma sana kwenye kukaba na kushambulia bahati mbaya wameshindwa kuwa clinical mbele ya goal.
[emoji117] Niliangalia mechi yao ya mwisho vs Liverpool. Ilikuwa mechi ngumu ingeweza kuisha draw, ila Liverpool walitumia uwezo binafsi zaidi wa wachezaji wao kushinda mechi
[emoji117] THE BLUES tuna safu mbovu ya ushambuliaji, not clinical na sio katili mbele ya goal + Morale za wachezaji zimeshuka mno + uchovu.
[emoji117] Naona tukipata aibu nyingine ya kudondosha POINT.
Acha woga