Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa jinsi tulivyo cheza na AT nakubaliana na ww. Inaonyesha ata wachezaji wanataka sana kombe la uefa kule kujituma kwao unaona kabisa kuna kitu wanataka, tizama goli la pili vile Silva alifurahia na wenzake inaonyesha kabisa wanalitaka hilo kombe.
Yaani TT alipokua anahojiwa baada ya game na ATM.

Alisema hakuna timu inayotaka kucheza nao kwa sasa na akasema kua timu yake haipaswi kumuogopa yoyote....

Hizi ni kauli nzito sn anatoa saizi huyu TT.

Na unajua wakati anakabidhiwa timu baada ya kufukuzwa Lampard malengo makuu aliyopewa TT ni kuhakikisha Chelsea inamaliza ndani ya top four kitu ambacho mpk saizi ameshafanikiwa....

Na kutokana na kikosi chake kua ktk form mzuri sasa tones imeanza kubadilika kutoka kwake yeye TT na wachezaji kwa ujumla. Wanataka makombe yaani wanataka kushinda FA na UEFA.

Swali linakuja kuuuuubwa kwamba je TT alishindwa kushinda UEFA akiwa na kina Mbape na Neymar je ataweza kuchukua kombe na hii squad ya Chelsea yenye wachezaji wa kawaida?????

Kazi kwetu wana Chelsea wenzangu nini maono yenu?
 
ukweli ulio wazi TT anataka avunje record kubwa sn
Hiyo rekodi ameshavunja kwa kutopoteza mechi 13 mfululizo na pili kufungwa goli 2 tu kwenye mechi hizo 13. Hakuna kocha katika historia ya Chelsea aliyeweza hayo hadi sasa
 
Yaani TT alipokua anahojiwa baada ya game na ATM.

Alisema hakuna timu inayotaka kucheza nao kwa sasa na akasema kua timu yake haipaswi kumuogopa yoyote....

Hizi ni kauli nzito sn anatoa saizi huyu TT.

Na unajua wakati anakabidhiwa timu baada ya kufukuzwa Lampard malengo makuu aliyopewa TT ni kuhakikisha Chelsea inamaliza ndani ya top four kitu ambacho mpk saizi ameshafanikiwa....

Na kutokana na kikosi chake kua ktk form mzuri sasa tones imeanza kubadilika kutoka kwake yeye TT na wachezaji kwa ujumla. Wanataka makombe yaani wanataka kushinda FA na UEFA.

Swali linakuja kuuuuubwa kwamba je TT alishindwa kushinda UEFA akiwa na kina Mbape na Neymar je ataweza kuchukua kombe na hii squad ya Chelsea yenye wachezaji wa kawaida?????

Kazi kwetu wana Chelsea wenzangu nini maono yenu?
Antonio Conte Chelsea haina wachezaji wa kawaida kama ulivyosema Chelsea ina team nzuri na team yenye kubalance kila idara team ilikosa kocha tu na bahati nzuri tumempata Tuchel ,Jibu la swali lako kipi kilishindikana kwa Tuchel kuchukua uefa akiwa na mtu kama neymar,Mbappe? Pamoja ya kwamba neymar na Mbappe kuwa na kiwango kikubwa Cha uchezaji lakini wanatabia ya kiutoto Sana sometime na ndio kilichowaangusha psg game ya mwisho walishindwa kuwa wakatili mbele ya goal neymar alikuwa anakaa na mpira Sana unnecessary Mbappe akikosa magoals kama chance tatu za wazi.Tatizo lingine wote Di Maria, Mbappe na neymar hawapress bila kusahau Psg hawana viungo wa Kati wazuri plus kiungo mbunifu zaidi ya kuwategemea hao watatu ndio inawafanya wasiwe balance.
 
Niko live hapa Turin, Italy kupitia supper sport
Journey to Instabul UCL Quarter Final tar 6 na 13 April 2021
Chelsea FC vs Porto
Semi Final

Chelsea akishinda atakutana na Real Madrid au Liverpool
UCL Final in Instabul
Predictions
Chelsea VS Bayern Munich
 
Hii ni bomba ya draw.... Yaani Chelsea naiona tayari tunaingia nusu fainali.... Na hapo sasa ndio tutapambana na Liverpool au Madrid.....

Ingawa najua kua ktk UEFA hakuna game rahisi lkn Porto hawawezi kuipiga kumbo Chelsea nje ya UEFA....

Mlima mkubwa utakua ktk nusu fainali hapo mbele.....
 
Yaani TT alipokua anahojiwa baada ya game na ATM.

Alisema hakuna timu inayotaka kucheza nao kwa sasa na akasema kua timu yake haipaswi kumuogopa yoyote....

Hizi ni kauli nzito sn anatoa saizi huyu TT.

Na unajua wakati anakabidhiwa timu baada ya kufukuzwa Lampard malengo makuu aliyopewa TT ni kuhakikisha Chelsea inamaliza ndani ya top four kitu ambacho mpk saizi ameshafanikiwa....

Na kutokana na kikosi chake kua ktk form mzuri sasa tones imeanza kubadilika kutoka kwake yeye TT na wachezaji kwa ujumla. Wanataka makombe yaani wanataka kushinda FA na UEFA.

Swali linakuja kuuuuubwa kwamba je TT alishindwa kushinda UEFA akiwa na kina Mbape na Neymar je ataweza kuchukua kombe na hii squad ya Chelsea yenye wachezaji wa kawaida?????

Kazi kwetu wana Chelsea wenzangu nini maono yenu?
Ukiachana na alivyojibu Ndugu Hziyech22 ..tatizo la PSG pia nafikiri ni Ile EGO ya main stars wao kina mbappe n neymar ..tofauti n wachezaji wa Chelsea wenye Hari kubwa...ilifika wakati mpk mbappe akipigwa sub anajibizana na kocha...kitu ambacho sasa kina mbappe walikuwa wananiona wapo juu zaidi ya kocha na klabu...hyo nafikiri ni Sababu pia iliyowafelisha uefa though ni minor sana
 
Niko live hapa Turin, Italy kupitia supper sport
UCL Quarter Final Instabul tar 6 na 7 April 2021
Chelse FC vs Porto
Semi Final

Chelsea akishinda atakutana na Real Madrid au Liverpool
Final
Tunacheza lin ssa
 
Tunacheza lin ssa
1616157427166.png
 
Ule msimu tuliochukua Europa baada ya kumgonga Arse8 bao nne kavu, hatukufungwa game hata moja kwanzia makundi hadi fainal[emoji3][emoji3][emoji3].

Hivi leo tuko UEFA na hatujapoteza game hata moja.
Ni dalili nzuri kwakweli..

Kiutani utani UEFA it's comin home baby[emoji7][emoji7][emoji7]
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom