lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,384
- 25,493
Katika mechi an Everton iliyochezwa 16 Dec 2021 ambapo Everton walikuwa kwenye ubovu wao
Chelsea tulidominate sana mpira na hata mashuti tulipiga sana ila tukatoka na droo ya 1-1
Chelsea tulidominate sana mpira na hata mashuti tulipiga sana ila tukatoka na droo ya 1-1
- Shots 23/5
- On target 10/3
- Possesion 81/19
- Pass acuracy 89/55
- Corners 7/1
- Goals 1/1
Nilishahisi point zinaweza kudondoka.