lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Ilikuwa ni 26 May 2021 pale Polsat Plus Arena Gdańsk Poland kwenye final za Europa walitoka droo ya 1-1 Vilareral wakashinda kwa penalti 11 kwa 102016 alikupiga ww akachukua europa
Ilikuwa ni 26 May 2021 pale Polsat Plus Arena Gdańsk Poland kwenye final za Europa walitoka droo ya 1-1 Vilareral wakashinda kwa penalti 11 kwa 102016 alikupiga ww akachukua europa
Kwa maelezo yako timu hii itahitaji misimu angalau mitatu na kila msimu tufanye usajili wa maana angala 3 good signingsIli tuweze kuclose gap na Liverpool na City kwenye kupambania ubingwa EPL msimu ujao, aisee tunatakiwa tusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa na kupanua kikosi chetu/kiwe chenye tija
Usajili:-
[emoji117] DEFENDER'S:- Kiukweli THIAGO apongezwe ametusaidia sana tangu ametua the BLUES ila huyu mwamba 37 years old.
THIAGO anahitaji kupumzika, kucheza mechi chache na hata akipata injury sasa hivi mbadala wake ni changamoto.
Tunatakiwa tusajili CB mwingine kijana mwenye uwezo mkubwa wa kumpokea kijiti cha mzee SILVA
Dogo CHRISTENSEN anadeka sana, kama ameamua kuondoka ni kusajili beki mwingine wa kusaidiana na CHALOBAH, Chalobah sio wa kutegemewa mistake kibao bado anajifunza, Rotation ndio halali yake.
RUDGER kama atabaki anahitaji mbadala wake, jamaa anacheza mechi nyingi sana bila kupumzika, akipata injury ya muda mrefu tayari tunaingia matatizoni.
Mbadala wa Chilwell na James unahitajika, tumeondoka kwenye mbio za ubingwa EPL baada ya hawa jamaa kupata injuries.
Alonso sio wa kumtegemea akupe kiwango bora kila mechi, Azipi umri umemtupa mkono.
---------------------------------------------------------------------
[emoji117] MIDFIELDERS:- Tunahitaji kiungo mkabaji haswa, Joghnho anatusanifu, Kante ameanza kuchoka mbadala wake ni muhimu sana, Saul arudi tuu Spain.
Viungo washambuliaji nadhani tutakuwa nao wazuri wakirudi kwenye mikopo yao kuna yule dogo Conor anauwasha moto palace atasaidiana na MOUNT
---------------------------------------------------------------------
FOWARDS:- Hapa Rais Uhuru Kenyata anasemaga PESA NANE/Panachanganya
Ukweli nipo tayari kumuona PULISIC, LUKAKU wakiondoka. Pulisic sio mchezaji wa mbio za EPL.
Tunahitaji washambuliaji wenye uwezo wa kufunga magoli mfululizo match after match.
Kubeba kombe la EPL aisee wafungaji wanatakiwa wawe wakatili mbele ya goli wafunge magoli kweli kweli sio kubahatisha.
Itapendeza tukisajili striker mkali atupe magoli 20+ kwa msimu, winga moja ya kutupa magoli 10+ kwa msimu
NB;- Sio lazima tufanye sajili mpya kama kuna wachezaji wa mkopo wazuri warudi ma academy wazuri wapande timu ya wakubwa.
Msimu ujao tuwe na kikosi kipana chenye ubunifu mkubwa + energy kubwa + uwezo/Uzoefu mkubwa.
Bila kufanya hivyo CITY na Liverpool wataendelea kutuburuza EPL.
Hapo umeongea points huku hata hao washambuliaji wenyewe hawapo, unamuweka Pulisic aongeze nini huko mbele? Makocha wakiboa wanaboa kweli kweliHakuna cha uchawi wala nini isipokuwa TT tu kashindwa mipango midogo ingawa mashabiki wake wameshindwa kulielezea.
Timu inaongoza 3 - 0 baada ya ya kupunguza mshambuliaji mmoja kati ya watatu waliokuwemo na kuingiza kiungo Mkabaji au beki ili kuweza fanya Timu icheze Defensive minded! Yeye ndiyo kwanza alikazania kushambulia na kufunguka utadhani ni mechi za mzunguko wa Ligi na si knockout.
Kwa mara ya kwanza nasoma point yako ya maana, Real wakikutana na city watapokea kipigo kibaya sana. Real Madrid nitimu mayai sana, mchezaji quality pale ni kipa, modrich na Benzema tu wengine wamekwisha au wachanga mno. Mfano Juniour ana papara na eror nyingi kama Odoi, zinazomsaidia ni mbio tu, Kroos kachoka kama Kante. Hapo tutegemee tu fainali ni Liverpool na CityMkuu unajua unachosema kweli! Real kacheza mpira baada ya kufungwa goli 3, unadhani goli zote tatu zilifungwa by chance?. Ukiangalia goli la Real hasa assist ya Luka Modric, it was an individual quality, Structurally ilikuwa ngumu kumuona Rodrygo coz Chelsea walimanage Space vizuri kwenye ile incedence, Modric anaamua kupiga trivela kick kumpata Rodrygo. Kama unajua mpira utaelewa hili goli liliwarudisha Real mchezoni.
Sio kila formation ya 433 inatumia DM, kulingana na falsafa ya kocha wote watatu wanaweza kuwa CM tu kwa maana kwamba wanalinda na kushambulia. Kwa falsafa ya Anceloti naona Casemiro, Kroos, na Modrich jana walicheza kama CM wa kawaida tu na ndio soka la kisasa So hata Camavinga alicheza kama CMCamavinga sio DM. Weka rekodi sawa.
Magoli kibao anafungwa siku hzi hata haruki anaganda tu kama sanamuKuna wakati nilimkandia Mendy nikapewa mashambulizi ya hatari humu. Jana bana juhudi hata ya kudive hakuna, anaangalia tu na kusindikiza kwa macho
Tusimuunderrate KEPA kama walivyosema baadhi Mendy naye awe anakula benchi baadhi ya mechi za ligi
Ingekua ndio ATM inacheza alafu ikaongoza goli 3 0 sioni kama wangetoka.Hakuna cha uchawi wala nini isipokuwa TT tu kashindwa mipango midogo ingawa mashabiki wake wameshindwa kulielezea.
Timu inaongoza 3 - 0 baada ya ya kupunguza mshambuliaji mmoja kati ya watatu waliokuwemo na kuingiza kiungo Mkabaji au beki ili kuweza fanya Timu icheze Defensive minded! Yeye ndiyo kwanza alikazania kushambulia na kufunguka utadhani ni mechi za mzunguko wa Ligi na si knockout.
Nyie Carabao tu tumewanyuka mtatuambia Nini[emoji1787]Naona mnasheherekea maana shughuli yetu mnaijua kama tungepita jana.
Asante mkuu lakini bahati mbaya natumia computer.Download google store kitu kinaitwa yacine
Hapa ndipo ninapompendea Morinyo......yeye angeweza akutoa mastraika woteaingize mabeki. Na zilikuwa zimebaki dakika 10 tu mzigo ufike. Inauma sana.Hakuna cha uchawi wala nini isipokuwa TT tu kashindwa mipango midogo ingawa mashabiki wake wameshindwa kulielezea.
Timu inaongoza 3 - 0 baada ya ya kupunguza mshambuliaji mmoja kati ya watatu waliokuwemo na kuingiza kiungo Mkabaji au beki ili kuweza fanya Timu icheze Defensive minded! Yeye ndiyo kwanza alikazania kushambulia na kufunguka utadhani ni mechi za mzunguko wa Ligi na si knockout.
PoleAsante mkuu lakini bahati mbaya natumia computer.
Nategemea TT atampa nafasi Kepa mechi ya Fa na palaceKuna wakati nilimkandia Mendy nikapewa mashambulizi ya hatari humu. Jana bana juhudi hata ya kudive hakuna, anaangalia tu na kusindikiza kwa macho
Tusimuunderrate KEPA kama walivyosema baadhi Mendy naye awe anakula benchi baadhi ya mechi za ligi
Haya masuala ya kusema tumeupigwa mwingi hatutaki tunataka kombeKinyoonge sana wakuu mambo vip? Ebnana dah kutolewa Jana kumeniuma kinoma sana Yani. TT apambane tuibuke hata na FA basi tusitoke Kapa msimu huu 😭😭😭😭
Mzee unajiita arsenal cjui unapata ubavu gani WA kuongea na wanaume wazee wa usiku WA ulaya[emoji23]....si Bora uende kwenye Uzi wenu kuongelea kina tavares n lokonga n jinsi ya kupronounce majina magumu ya timu za Europa / conference league mtakazo shiriki msimu ujao km kina Slavia prague n.k.[emoji16]Kukumbushana Muhimu leo ni Wednesday lakini Chelsea are out of Champions [emoji471] league lembu Hziyech22 Cash Money Forever OllaChuga Oc 42774277 huwa mna makelele sana wakati timu hamna imejaa umama umama mnaongoza 3 then mnatolewa?bye bye [emoji112]
Hii mechi mnaona rahisi sio[emoji1787][emoji1787]Liverpool will beat Vill home and away.
Liverpool to UCL final
3 times into 6 years of Klopp’s helm.
What a coach?
Inabidi wamiliki wapya wampe mamlaka Tuchel km ya umanager flan kwamba akitaka wachezaji flan haohao ndo aletewe na sio kuletewa km hv n marina Yule mama n negotiator mzuri Ila Labda knowledge ya football Hana kivile.....Conte naye alimtakaga Alex Sandro cjui na viungo gani wengine akaletewa Emerson palmieri na kina Drinkwater n bakayokoTulikiwa na chance ya kumsajil Tchoumen ila kwa akili ya Marina akatuletea Saul, na sasa kumpata tchoumen ni kazi maana tim kubwa nying zinamtaka
Wewe Kwan chelsea umemfunga msimu huu...Ile mechi ya final VAR iliwaokoa lkn dhahiri mlikuwa mmefungwa goli la halaliHivi nyinyi Rent boys akili mutazupata lini? Man City kakupiga Nje Ndani bado unasema wewe ni kikwazo?
Unaanzaje kuwa kikwazo kwa Liverpool?