Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa jiinsy mulivotunanga nakwambiya tutaleta mashambulizi ya kufa mtu hahahaha aise mpira ni Raha sana..waambiye wadada wenziyo Raha ya kuwa Fan wa mpira, hasa klabu kama Chelsea hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Vp mashambulizi yameishia wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Okay Hongera kwa RM. Tuchel hana wa kumlaumu kwa kumbakiza Kante. Kante amekuwa akifanya makosa mabaya sana leo na alipaswa kupunzishwa mapema.

Kuendelea kuwepo kwake kumeigharimu timu.
Vinginevyo angalau allypipi atalala maana si kwa pressure aliyokuwa nayo.

Mpira furaha. Mpira burudani. Mpira sio dini.
Muwe na usiku wa baraka!
 
Leoo mapemaaaa Niko jamvini apaaa hahahahah woyoooo walete kati hao watoto mchele Michele ..sisi ndio mabingwa watetezi bana hahaha ..embu apo ncheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Mabingwa watetezi njoo huku au umehamia MMU nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kante leo usiku[emoji16]
20220407_002044.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom