Kuchukua fa ni either ukutane na Liverpool au man city [emoji23][emoji23][emoji23]mambo sio rahisi kabisa ....Kinyoonge sana wakuu mambo vip? Ebnana dah kutolewa Jana kumeniuma kinoma sana Yani. TT apambane tuibuke hata na FA basi tusitoke Kapa msimu huu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Unao muda wa kutosha kufuatilia hili kabla hatujaanza kubishana.Camavinga sio DM. Weka rekodi sawa.
We ongea tu.... siku ya kukufunga mdomo inakuja.Nyie Carabao tu tumewanyuka mtatuambia Nini[emoji1787]
Bado mngetoka tu.
Unanifungaje wakati mshatolewa[emoji23]We ongea tu.... siku ya kukufunga mdomo inakuja.
Pambana upite kwa man city nusu fainali ya fa.Unanifungaje wakati mshatolewa[emoji23]
Real Madrid amekushinda ndio itakuwa sisi?[emoji1787]Pambana upite kwa man city nusu fainali ya fa.
Nije nikunyooshe.
Wewe hujanishindaReal Madrid amekushinda ndio itakuwa sisi?[emoji1787]
Aah sasa si WAzi hao Makocha WA utd( post mourinho) na arsenal WA kawaida Tu[emoji2] kulinganisha na pep klop TuchelKocha kuwa manager kuna faida na hasara na pia.
Mifano ya hasara tunaiona Man u na Asernal na faida tunaiona Man city na Liverpool.
Kocha smart kama Pep & Klop kuwa Managers ni vizuri sana, wazee wa mbinu kali wana macho ya kuona wachezaji wenye vipaji vikubwa vipaji, kuwaingiza kwenye mifumo yao na kuwasimamia na kuwajenga wakawa wachezaji WC mbeleni.
Hatujajua kama tajiri mpya ataendeleza utaratibu wa Roman kocha kuwa head coach au wataleta utaratibu wa umanager tusubirie.
Liver wanacheza na VillarealPambana upite kwa man city nusu fainali ya fa.
Nije nikunyooshe.
FALiver wanacheza na Villareal
Mancity na Real Madrid
MaMo, Kai na Werner waendelee kukaza ivyo ivyo huyu Lukaku sioni kama ana maisha marefu darajani.
Marina abaki tu kuwa kama negotiator ila kwenye scouting tutafute mtu mwingine,Inabidi wamiliki wapya wampe mamlaka Tuchel km ya umanager flan kwamba akitaka wachezaji flan haohao ndo aletewe na sio kuletewa km hv n marina Yule mama n negotiator mzuri Ila Labda knowledge ya football Hana kivile.....Conte naye alimtakaga Alex Sandro cjui na viungo gani wengine akaletewa Emerson palmieri na kina Drinkwater n bakayoko
Man utd shida sio kocha, shida inaanzia juu mpk kwa wachezajKocha kuwa manager kuna faida na hasara pia.
Mifano ya hasara tunaiona Man u na Asernal na faida tunaiona Man city na Liverpool.
Kocha smart kama Pep & Klop kuwa Managers ni vizuri sana, wazee wa mbinu kali wana macho ya kuona wachezaji wenye vipaji vikubwa vipaji, kuwaingiza kwenye mifumo yao na kuwasimamia na kuwajenga wakawa wachezaji WC mbeleni.
Hatujajua kama tajiri mpya ataendeleza utaratibu wa Roman kocha kuwa head coach au wataleta utaratibu wa umanager tusubirie.
Basi tuseme mmechukua kombe mkuu.Wewe Kwan chelsea umemfunga msimu huu...Ile mechi ya final VAR iliwaokoa lkn dhahiri mlikuwa mmefungwa goli la halali
Mimi sijafungwa muda mrefu sana na Liverpool. Kama unabisha sema.Basi tuseme mmechukua kombe mkuu.