Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

WERNER asiuzwe bali wasajiliwe washambuliaji wengine wenye uwezo wa kufunga zaidi ili kosa kosa za WERNER sizilaumiwe sana.

WERNER anafanya kazi kubwa sana eneo la kushambulia zaidi ya hizo kosa kosa. Pressing, nguvu & kasi yake na movement zake ni balaa.
Jana werner amecheza vizuri kuliko Pulisic tuluyekuwa tunamtegemea.

Kile kikosi cha jana kianze kila match.
 
Mashabiki wa liverpool na yule dogo wa mancity wamefurahi sana Chelsea kutolewa kwani ndiyo ilikuwa timu ya kikwazo kwao.

Nawatakia kila la kheri Liverpool na Man city fans ubingwa mwema. Mshindwe wenyewe.

Hivi nyinyi Rent boys akili mutazupata lini? Man City kakupiga Nje Ndani bado unasema wewe ni kikwazo?
Unaanzaje kuwa kikwazo kwa Liverpool?
 
Ili tuweze kuclose gap na Liverpool na City kwenye kupambania ubingwa EPL msimu ujao, aisee tunatakiwa tusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa na kupanua kikosi chetu/kiwe chenye tija

Usajili:-

DEFENDER'S:- Kiukweli THIAGO apongezwe ametusaidia sana tangu ametua the BLUES ila huyu mwamba 37 years old.

THIAGO anahitaji kupumzika, kucheza mechi chache na hata akipata injury sasa hivi mbadala wake ni changamoto.

Tunatakiwa tusajili CB mwingine kijana mwenye uwezo mkubwa wa kumpokea kijiti cha mzee SILVA

Dogo CHRISTENSEN anadeka sana, kama ameamua kuondoka ni kusajili beki mwingine wa kusaidiana na CHALOBAH, Chalobah sio wa kutegemewa mistake kibao bado anajifunza, Rotation ndio halali yake.

RUDGER kama atabaki anahitaji mbadala wake, jamaa anacheza mechi nyingi sana bila kupumzika, akipata injury ya muda mrefu tayari tunaingia matatizoni.

Mbadala wa Chilwell na James unahitajika, tumeondoka kwenye mbio za ubingwa EPL baada ya hawa jamaa kupata injuries.

Alonso sio wa kumtegemea akupe kiwango bora kila mechi, Azipi umri umemtupa mkono.

---------------------------------------------------------------------

MIDFIELDERS:- Tunahitaji kiungo mkabaji haswa Joghnho anatusanifu, Kante ameanza kuchoka mbadala wake ni muhimu sana, Saul arudi tuu Spain.

Viungo washambuliaji nadhani tutakuwa nao wazuri wakirudi kwenye mikopo yao kuna yule dogo Conor anauwasha moto palace atasaidiana na MOUNT

---------------------------------------------------------------------

FOWARDS:- Hapa Rais Uhuru Kenyata anasemaga PESA NANE/Panachanganya

Ukweli nipo tayari kumuona PULISIC, LUKAKU wakiondoka. Pulisic sio mchezaji wa mbio za EPL.

Tunahitaji washambuliaji wenye uwezo wa kufunga magoli mfululizo match after match.

Kubeba kombe la EPL aisee wafungaji wanatakiwa wawe wakatili mbele ya goli wafunge magoli kweli kweli sio kubahatisha.

Itapendeza tukisajili striker mkali atupe magoli 20+ kwa msimu, winga moja ya kutupa magoli 10+ kwa msimu

NB;- Sio lazima tufanye sajili mpya kama kuna wachezaji wa mkopo wazuri warudi ma academy wazuri wapande timu ya wakubwa.

Msimu ujao tuwe na kikosi kipana chenye ubunifu mkubwa + energy kubwa + uwezo/Uzoefumkubwa.

Bila kufanya hivyo CITY na Liverpool wataendelea kutuburuza EPL.
Wazo zuri Sana Kwa shabiki wa Chelsea.

Tusubiri mawazo kama haya Kwa mashabiki wa Arsenal pamoja na Man UTD wanasemaje kuhusu timu zao
 
Chelsea Jana kaupiga mwingi ila kama kawaida CL ni uchawi

Hakuna cha uchawi wala nini isipokuwa TT tu kashindwa mipango midogo ingawa mashabiki wake wameshindwa kulielezea.

Timu inaongoza 3 - 0 baada ya ya kupunguza mshambuliaji mmoja kati ya watatu waliokuwemo na kuingiza kiungo Mkabaji au beki ili kuweza fanya Timu icheze Defensive minded! Yeye ndiyo kwanza alikazania kushambulia na kufunguka utadhani ni mechi za mzunguko wa Ligi na si knockout.
 
Ili tuweze kuclose gap na Liverpool na City kwenye kupambania ubingwa EPL msimu ujao, aisee tunatakiwa tusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa na kupanua kikosi chetu/kiwe chenye tija

Usajili:-

DEFENDER'S:- Kiukweli THIAGO apongezwe ametusaidia sana tangu ametua the BLUES ila huyu mwamba 37 years old.

THIAGO anahitaji kupumzika, kucheza mechi chache na hata akipata injury sasa hivi mbadala wake ni changamoto.

Tunatakiwa tusajili CB mwingine kijana mwenye uwezo mkubwa wa kumpokea kijiti cha mzee SILVA

Dogo CHRISTENSEN anadeka sana, kama ameamua kuondoka ni kusajili beki mwingine wa kusaidiana na CHALOBAH, Chalobah sio wa kutegemewa mistake kibao bado anajifunza, Rotation ndio halali yake.

RUDGER kama atabaki anahitaji mbadala wake, jamaa anacheza mechi nyingi sana bila kupumzika, akipata injury ya muda mrefu tayari tunaingia matatizoni.

Mbadala wa Chilwell na James unahitajika, tumeondoka kwenye mbio za ubingwa EPL baada ya hawa jamaa kupata injuries.

Alonso sio wa kumtegemea akupe kiwango bora kila mechi, Azipi umri umemtupa mkono.

---------------------------------------------------------------------

MIDFIELDERS:- Tunahitaji kiungo mkabaji haswa, Joghnho anatusanifu, Kante ameanza kuchoka mbadala wake ni muhimu sana, Saul arudi tuu Spain.

Viungo washambuliaji nadhani tutakuwa nao wazuri wakirudi kwenye mikopo yao kuna yule dogo Conor anauwasha moto palace atasaidiana na MOUNT

---------------------------------------------------------------------

FOWARDS:- Hapa Rais Uhuru Kenyata anasemaga PESA NANE/Panachanganya

Ukweli nipo tayari kumuona PULISIC, LUKAKU wakiondoka. Pulisic sio mchezaji wa mbio za EPL.

Tunahitaji washambuliaji wenye uwezo wa kufunga magoli mfululizo match after match.

Kubeba kombe la EPL aisee wafungaji wanatakiwa wawe wakatili mbele ya goli wafunge magoli kweli kweli sio kubahatisha.

Itapendeza tukisajili striker mkali atupe magoli 20+ kwa msimu, winga moja ya kutupa magoli 10+ kwa msimu

NB;- Sio lazima tufanye sajili mpya kama kuna wachezaji wa mkopo wazuri warudi ma academy wazuri wapande timu ya wakubwa.

Msimu ujao tuwe na kikosi kipana chenye ubunifu mkubwa + energy kubwa + uwezo/Uzoefu mkubwa.

Bila kufanya hivyo CITY na Liverpool wataendelea kutuburuza EPL.
Tutatufe 1CB huku tukimuongezea Rudiger mkataba, then rudisha Levi Colwill
Tutafute back up za James n Chilwel hata kutoka academy wanaoweza kutupa hata nusu ya wanachotupa hao wawil

Tutafute namba 6 mwingine kante pumzi ishaanza kukata,
Rudisha Gallagher mpe nafasi

Tutafute striker ambae ataendana na mfumo wa tuchel, sio lazima awe anajulikana

Pulisic-Ni failed project, huyu yuko kibiashara zaid kwa wamarekani, sioni akiuzwa
 
The best way to defend is to attack. Tukubali tu kuna muda tulisinzia tukaadhibiwa. Upaki basi Bernabeu ya Vini na Benzema lazima ingepatikana Penalty, freekick za kutosha na tungeadhibiwa vibaya.

Well done my team. Well done Tuchel huyu sasa ndio kocha ambae anatakiwa na Chelsea
Wangepaki basi kijanja.mshambuliaji mmoja mbele viungo 5.wasingetoboa Rm
 
Aiseeh yule Modrick anazeeka na utamu wake, ile outer ilivyopigwa huwezi amini kama ingezaa goli.

Narudia tena MODRICK ni fundi bwana.
Hiyo staili ya kupiga mpira alifunga goli WC 2018, walikuwa kwenye mtoano wakasonga mbele
 
Huyu dogo ni bonge la DM U23 ndani ya hii dunia akifuatiwa na Camavinga. Niliwahi kusema wakati huu msimu unaanza kwanini tusimuuze Kante then hela itakayopatikana tuongezee kidogo tumchukue huyu dogo. Kipindi hicho PSG walionyesha intereset kubwa sana kwa Kante

Ni potential kubwa sana Tchoumen
Camavinga sio DM. Weka rekodi sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom