Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea mlipambana sana wakuu.

Hii hatua ni Mendy ndiye aliyetuponza kuwazawadia Real Madrid goli la bure kabisa pale Stamford Bridge.

Tuombe Mungu Chelsea FC ipate Mmiliki mzuri kama Abrahamovich na wala si Wamarekani wanaoangalia kupata faida tu wala si makombe kama ilivyo kwa Man Utd, Liverpool na Arsenal.
 
Leo tunavuliwa rasmi ubingwa wa Ulaya

Sasa hivi wewe si bingwa wa chochote kwasababu hutetei Kombe lolote manake najua munaweza kusema nyinyi ni Mabingwa wa Dunia wakati ili uweze kutetea ubingwa wa Dunia ni lazima ushinde CL.
Umetolewa CL manake umeshatolewa na kwenye Ubingwa wa Dunia.
 
Kukumbushana Muhimu leo ni Wednesday lakini Chelsea are out of Champions league lembu Hziyech22 Cash Money Forever OllaChuga Oc 42774277 huwa mna makelele sana wakati timu hamna imejaa umama umama mnaongoza 3 then mnatolewa?bye bye
Mwakani tunashughulika na mbele lazima tumuweke mfungaji mwenye akili, hii kuwategemea Pulisic hovyo sana. Katikati tumuweka mrithi wa Kante. Kante kaisha, mkataba utakaofuata ni wa mwaka mmoja akitaka
 
Mwakani tunashughulika na mbele lazima tumuweke mfungaji mwenye akili, hii kuwategemea Pulisic hovyo sana. Katikati tumuweka mrithi wa Kante. Kante kaisha, mkataba utakaofuata ni wa mwaka mmoja akitaka

Hela utazipata wapi mkuu?
Hawa akina Havertz wataondoka sababu ya njaa na ww utamsajili Pukki toka Norwich
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom