Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimejikaza ila hapana, nisipomsifu Luka Modric nitakuwa sijatenda haki, the nigga is football deity, technical level ya juu sana, anaexcel in every facet, he remind me of Thomas Rosicky.

Don Carlo alizidiwa sana tactically na Thomas Tuchel, kilichombeba ni technicality ya wachezaji wake specially Vinicius Jr, Modric, Karim Benzema.
 
Mkuu alizidiwa mbinu kivipi, hukuona sub za Carlo (Marcelo, Rodyrigo-Goal) zilichange game?

Kidogo nipate pressure Jana, nashukuru network kukatika dk ya 115. Sijajua Kama ningekua ukumbini ingekuaje kama goli 3 kwa moja wiki iliyopita nilishindwa kutoka bar...niliuzunika sana.
Kwakweli mpira ni mchezo katili sana, naendelea kuumia Kama ile siku ya EUFA Moscow Man Utd vs Chelsea.
 
Hivi nyinyi Rent boys akili mutazupata lini? Man City kakupiga Nje Ndani bado unasema wewe ni kikwazo?
Unaanzaje kuwa kikwazo kwa Liverpool?
Hapa unakosea mkuu. Man City hata mimi nimemfunga mara tatu in and out. So hiyo halina ubishi. We jifariji baada ya Chelsea kutoka Cl. Narudia tena Chelsea alikuwa kikwako kwenu Liverpool na City ful stop na ndiyo maana umefurahi sana baada ya wao kutoka.
 
Ndiyo mchezo mkuu. Lazima tuyakubali matokeo
Tubadlke asee tumepoteza final ya carabao tukajivunia tumepambana

Jana hivyo tumejivunia tumepambana

Hata Arsenal aliendekeza hizi kaulii sasa hv huyo hapo anajitafuta karibu misimu mi4 hachez uefa

Tunataka FA cup msimu huu tumepoteza mara mbili mfululizo
 
Kiukweli game ya jana tulipambana Sana, ila imeniacha nikihuzunika Sana. Binafsi nadhani TT alichelewa kufanya substitute. Hasa Loftus na kante.

Ili haya maumivu yaishe hatunabudi kuchukua FA. Yani sioni umuhim wa Lukaku kuanzia kwenye league mpka kwenye mashindano mengine.
 
Mendy somtym ni bonge la mataQo mtepweto. Auzwe tu manina.
Hahah... Asajiliwe Kipa gani Enzo?

Kuna UEFA moja ilikuwa 16 enzi za Conte tulikutana na Barca na kipa alikuwa Curtois. Akatobolewa goal 3 match ya pili.

Watu waliongea sana shit lakini huwezi sema jamaa alikuwa kipa mbaya.

Sometimes mambo mabaya yanatokea.

Humu ndani tumeanza kuongea muda sana kwamba mendy ana tatizo kwenye mipira ya kurudishiwa. Hiyo ni weakness yake kama tu Keppa ambavyo hadaki mipira ya mbali.,

Watu wengi walikuwa hawatuelewi.

Nadhani, goal la tatu ile game ya madrid darajani ndio watu wengi walielewa.
 
Nakusalimia mkuu wangu
 
Mkuu alizidiwa mbinu kivipi, hukuona sub za Carlo (Marcelo, Rodyrigo-Goal) zilichange game?
Mkuu unajua unachosema kweli! Real kacheza mpira baada ya kufungwa goli 3, unadhani goli zote tatu zilifungwa by chance?. Ukiangalia goli la Real hasa assist ya Luka Modric, it was an individual quality, Structurally ilikuwa ngumu kumuona Rodrygo coz Chelsea walimanage Space vizuri kwenye ile incedence, Modric anaamua kupiga trivela kick kumpata Rodrygo. Kama unajua mpira utaelewa hili goli liliwarudisha Real mchezoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom