Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,632
- 6,497
Blaza nisaidie link niweze kutazama game kwenye smartphone yangu. Bando ninaloKwenye mabango wameonyesha 4-3-3 lakini uwanjani wanacheza 3-4-3. RLC anacheza wing back wa kulia
Blaza nisaidie link niweze kutazama game kwenye smartphone yangu. Bando ninaloKwenye mabango wameonyesha 4-3-3 lakini uwanjani wanacheza 3-4-3. RLC anacheza wing back wa kulia
VAR hakuna leo?Huyu jamaa kamvuta mtu kwenye box halafu refa kapeta
Mkuu ukiipata nishtue hata mm naitafuta hiyo link tafadhali.Blaza nisaidie link niweze kutazama game kwenye smartphone yangu. Bando ninalo
Mkuu naona hesgoal wameanza kuzingua hawaoneshi mechi siku hz sijui tatizo niniboss mi nilikua mwanachama wa hesgoal...kwenye kitonga
Mkuu nisaidiepo link bado nasubiriMount goli la kwanza bado moja
Download google store kitu kinaitwa yacineMkuu naona hesgoal wameanza kuzingua hawaoneshi mechi siku hz sijui tatizo nini
Mkuu nisaidiepo link bado nasubiri
hapo pamoja mzee...kipind cha pili tutakua pamoja...Install hiyo applicationView attachment 2185429
Dakika ya 14 MOUNTDakika 15 za mwanzo ndo zitaonyesha kama hii game tunashinda au vipi
VitaMkuu naona hesgoal wameanza kuzingua hawaoneshi mechi siku hz sijui tatizo nini
Sawa mjomba. Naomba nisaide link ya kutazama mpira huu kama unayo mkuu.Sio mbaya mpaka half time, ila maoni yangu nadhani 2nd Half CHEEK atupishe, ifanyike SUB yake anachelewesha sana mashambulizi.
CHEEK leo anacheza kinyonge sana.
Download app ya live football tv EuroTafadhali wazee naomba mnisaidie link ya kutazamia mpira huu wa leo Madrid Vs Chelsea. Nakosa uhondo hapa ndugu zangu.
Hata hawawezi kurudisha ule mzigoMpaka kipindi vha kwanza kinaisha hawajapiga on target hata moja. Well done my defense