Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mmefikia huku Dah
20220403_110424.jpg
 
Mashabiki wa liverpool na yule dogo wa mancity wamefurahi sana Chelsea kutolewa kwani ndiyo ilikuwa timu ya kikwazo kwao.


Nawatakia kila la kheri Liverpool na Man city fans ubingwa mwema. Mshindwe wenyewe.
We unazani Villarreal ni team nyepesi ? Villarreal ndio aina za team zinazowasumbua Liverpool wapo very combat na wazuri kwenye counter attack hata hiyo game ya Man city dhidi ya A.Madrid bado ni game ngumu Sana hiv unazani kwanini crystal palace anamsumbua Sana City uchezaji wa crystal palace hauna tofauti na A.Madrid
 
Mwakani tunashughulika na mbele lazima tumuweke mfungaji mwenye akili, hii kuwategemea Pulisic hovyo sana. Katikati tumuweka mrithi wa Kante. Kante kaisha, mkataba utakaofuata ni wa mwaka mmoja akitaka
Tulikiwa na chance ya kumsajil Tchoumen ila kwa akili ya Marina akatuletea Saul, na sasa kumpata tchoumen ni kazi maana tim kubwa nying zinamtaka
 
Kile kikosi kilichoanza jana ndio kinatakiwa kuanza match za sasa hivi.

Goals tunapata mbona.
Ile front 3 ndio iliotupa ucl, kwa sababu wanapress kuanzia juu + pace

Individual mistake tumezifanya katika wakat mbaya
 
Sasa hivi wewe si bingwa wa chochote kwasababu hutetei Kombe lolote manake najua munaweza kusema nyinyi ni Mabingwa wa Dunia wakati ili uweze kutetea ubingwa wa Dunia ni lazima ushinde CL.
Umetolewa CL manake umeshatolewa na kwenye Ubingwa wa Dunia.
Mlipuko wa Covid ukitoke,au vita ya 3 ya dunia nani bingwa mashindano ya kaahirishwa nani bingwa wa dunia?
 
Chelsea leo tumepambana sana sikutegemea kama tungeweza kupata hizo goli tatu ila nilitamani sana baada zile goli TT angekuwa na mbinu kama za mourinho au Diego simeoni kwa kupaki bus dk 10 zilizobaki nafikiri now ingekuwa ni kicheko tu
The best way to defend is to attack. Tukubali tu kuna muda tulisinzia tukaadhibiwa. Upaki basi Bernabeu ya Vini na Benzema lazima ingepatikana Penalty, freekick za kutosha na tungeadhibiwa vibaya.

Well done my team. Well done Tuchel huyu sasa ndio kocha ambae anatakiwa na Chelsea
 
Alonso bana hata acheze vizuri lazima ataudhi tu
Ule mkono jana alikuwa anakula ugali au, si angugandisha tu chini lile goli lingetubeba sana
 
Tulikiwa na chance ya kumsajil Tchoumen ila kwa akili ya Marina akatuletea Saul, na sasa kumpata tchoumen ni kazi maana tim kubwa nying zinamtaka
Huyu dogo ni bonge la DM U23 ndani ya hii dunia akifuatiwa na Camavinga. Niliwahi kusema wakati huu msimu unaanza kwanini tusimuuze Kante then hela itakayopatikana tuongezee kidogo tumchukue huyu dogo. Kipindi hicho PSG walionyesha intereset kubwa sana kwa Kante

Ni potential kubwa sana Tchoumen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom