lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Scouting team iwe chini ya managerMarina abaki tu kuwa kama negotiator ila kwenye scouting tutafute mtu mwingine,
Wampe tuchel maamuzi ya yupi anamtaka na na nani hamtaki, wakimpa wachezaj anaowataka naamini atakuwa na mafanikio kuliko hata josee kwa pale chelsea,