Barkley katubu, arudishwe kundini tuPasi ya kuombea mkopo hii
Blaza unapanick Sana, kufungwa tumechi tuwili tu Tena kwa tabu Sana kusikufanye ukadhani tutatetereka. Sisi ndio ChelseaOdoi naye apelekwe mkopo
Saul arudi kwao akacheze ligi ile legele
Havertz awe sub tu kwa sasa hata RLC anamzidi
Azpi, Kova na Jo wapumzishwe kuwaanzisha kila mechi wanachoka
Tumsajili kiungo mshambuliaji wa kusaidiana na Mount kwenye kumhudumia Lukaku na wafungaji wengine wa mbele
Enzi za Fab kila mtu mbele anakuwa mfungaji kwa sababu yake
Bado lakini tupo vizuri, group stage huwa haina mvuto tofauti na hatua za mtoano
Bado tuna mechi nne, tunao uwezo wa kumbamiza Juve darajani, Malmo ndani na nje na kutoa sare na Zenit, point 10 ziko mbele yetu na ukichanganya na 3 kibindoni zinakuwa 13 hapo tumeongoza kundi.
Biashara ndio inakwenda hivyo
Tokaaaaaa pepoooooooKlopp be playing 4-3-3 consistently over the years & coaches still can’t figure out on him to beat him
Coaches have figured out how to beat Tuchel’s 7-2-1
Ma fans was Chelsea wengi hapa bado Wana mioyo kidogo Sana hawawezi kuvumilia watuulize sisi wakongwe tuwafundishe hahahahahahaHiv nyie watu mbona hamna uvumilivu Harvert nae auzwe Warner auzwe je mtabaki na wachezaji gani nyie hebu kuweni na uvumilivu kaaa nyie hao wakuimba mapambia kwa TT leo hafai kisa 2 game?
Mdogo wangu Papaa ..Lukaku anakosa watu wa kumchezesha ..Kama alivyosema Antonio Conte. Lukaku no bonge la straika huwezi pata mtu Kama yule dunia ya Sasa..Sijawahi ona straika mbovu kama Lukaku, mtu mpaka alalie mabeki, akipewa mpira kutuliza utazani anatoa pasi. Lukaku tumepigwa mchana kweupeee we kubali ama kataa ila ndio hivyo.
Nyie matakataka mutajuana wenyewe leo ..sisi wacha tuendelee kuwala vichwa tu pumbavu.Nimeishia hapo "tumpige goli 4 bila"
![]()
Nyie nyie watu wa Chelsea....hayaaa mtaniambia ngja nikae kimyaaaa
Mtu unajiita allypipi ..wewe utakuwa siyo rizki wewe 😂😂😂Kilicho baki nikuomba muuwawe kifo kibad nyie cheltako.
Kazi kazi tu haakuna kulala Hadi ubingwa utue Darajani.
Asante Numbisa dah!! What a pass from Rose Barkley2nd goal. WernerView attachment 1960646
Gol zuri pas nzuri hapo Lukaku alikuwa nae yupo tyr2nd goal. WernerView attachment 1960646
Kwa competition iliyoko sasa nina imani wataimproveBarkley hana tofauti na Mount, usije kumkataa mechi ijayo maana hana tofauti na gari la mkaa.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
kwa ushindani uliopo wote hao wataimproveRLC usije ukamzamini... Atacheza mechi moja nzuri... Atakuja tena kucheza vizuri baada ya michezo kumi kupita ...
Vile vile kwa odoi..hivi vitoto vya kiingereza ukivisifia tu... Lazimavikuchome..
Hivi vyotevya kuuzwa pamoja na barkley
Hahahah umeona Jana tumemla mtu karibu bao 5 mbili refa kaamua kuvungia😂😂😂😂Huyu OllaChuga Oc tumsubiri mpaka Chelsea ishinde ndo aje 😆
Hiyo ni kawaida haha sisi ndio Chelsea...OllaChuga Oc Jioni hii kule UEFA Youth Chelsea mmepigwa na Juve, na usiku huu huku UEFA Senior nako Chelsea mmepigwa tena na hao hao Juve, aisee 😂
Sisi tunafungwa mechi moja Tena kwa tabu mnoo..Huwa mna kelele mno mkipgwa sawa sawa mfululizo itakua poa sana, kwanza OllaChuga Oc yupo wapi?