Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Werner akicheza na lukaku atafunga magoal mengi tu, mabek wanakuwa busy na lukaku huku wakiachia nafas kwa werner.

Bado kuna kauchoyo flan kwa mount, kuna chance lukaku alikuwa ashafungua, mount akashoot badala ya kumpa lukaku
Umuhimu wa mount umeonekana baada ya kuingia kwenye kutafuta nafasi

Chilwell nahis hili goal litamjengea confidence yake,

VAR leo imetukatili hasahass kipindi cha kwanza
Hii game tulikuwa tunaimaliza 1st half km mwamuzi angekuwa yuko fair
Ile nafasi ya mount naona km alivyopokea pasi ilikuwa vigumu kumuona Lukaku alivyofungua ...
 
IMG_20211002_194158_039.jpg
 
RLC usije ukamzamini... Atacheza mechi moja nzuri... Atakuja tena kucheza vizuri baada ya michezo kumi kupita ...

Vile vile kwa odoi..hivi vitoto vya kiingereza ukivisifia tu... Lazimavikuchome..

Hivi vyotevya kuuzwa pamoja na barkley
RLC anafaa kuanza kila mechi, ameimprove mmno kwenye dribling na kushambulia
Odoi anacheza vizuri sana tofauti na nilivyodhania, Chilwell naye anajitahidi kucheza vizuri
Timu yote inacheza vizuri, pamoja na kucheza vizuri, Rudiger alichelewa kidogo kumuhudumia Lukaku mpaka akaotea
Lukaku kaonyesha kuwa akipata mpira hafanyi makosa
 
RLC usije ukamzamini... Atacheza mechi moja nzuri... Atakuja tena kucheza vizuri baada ya michezo kumi kupita ...

Vile vile kwa odoi..hivi vitoto vya kiingereza ukivisifia tu... Lazimavikuchome..

Hivi vyotevya kuuzwa pamoja na barkley
Injury ndio ziliwafanya viwango vyao vishuke, ukiwaangalia kabla hawajapata majeruhi jins walivyokuwa utaelewa, wakiendelea kupata dakika za kucheza, viwango vyao vitarudu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom