Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,468
- 14,621
Katafute goal la hazard anawafunga hao liverkuku alafu njoo ucheki na hilo la sarah kama yanafananaHilo goli binadamu hawezi funga ni yeye tu anaweza
Katafute goal la hazard anawafunga hao liverkuku alafu njoo ucheki na hilo la sarah kama yanafananaHilo goli binadamu hawezi funga ni yeye tu anaweza
Hilo goli ndg nalifahamu tena nimeiweka hiyo clip kwenye PC yangu ninayo hapaKatafute goal la hazard anawafunga hao liverkuku alafu njoo ucheki na hilo la sarah kama yanafanana
Daaah huyu mjerumani nilimsahau alikuwaga moto sanaKwa kweli chief, nilidhani Mount angerithi mikoba ya wapiga mashuti kutokana umbile la mwili wake
Ross Barkley anaachiaga mafataki sema tuu anaingia na kutoka kwenye kikosi.
Kuna yule mzungu kichaa alikuwa anaitwa Andre Schurrle jamaa alikuwa mwembamba wa mwili ila alikuwa anaachia makombora hatare. View attachment 1961495
Torres mimi sina deni nae lile goli lake aliowafunga Barca semi final uefa likatupeleka final Munich lilikuwa Safi SanaMkuuu hapo tafadhali mtoe TORRES UMESHAU UCL 2012 A
au mkuuu ndio umeenza juzi kuwa fans wa Chelsea hebu jaribu kicheki goal lake lilikuwa na Vibe kubwa sana mkuu sorry kma nimekosea kukukosoa
Goli la Gabriel Jesus ni la Open PlayChelsea mpaka sasa hatujafugwa goal la open play
Kwa kupack bus?So far tuko vizuri ..tukikaza Hivi Hivi ligi yetu hii.
CFC![]()
Hivi striker kuflop huwa inatafsirikaje?Pamoja na kuitwa striker wa mechi kubwa kama hiyo robo fainali dhidi ya Barcelona pia kwenye finali ya Europa mwaka uliofuatia lakini bado Torres yuko kwenye orodha ya wachezaji ghali walioflop hakufanya vitu alivyonunuliwa navyo hasa akiwa Liverpool
Kuflop maana yake kucheza chini ya kwango ulichokuwa umeshakifikia na ukawa stable nacho, hata kama mchezaji kafunga magoli muhimu lakini kiwango chake kikiwa below his own standard hiyo inaitwa FLOP haina jina jingineHivi mchezaji kuflop huwa inatafsirikaje?
1. Una nunua striker anafunga magoli mengi na hambebi hata kikombe cha kahawa.
2. Unanunua striker anafunga magoli kiduchu na muhimu katika finali na mnabeba kombe.
hapo kati ya 1 na 2, yupi mchezaji flop? au wote ni flops.
Mnaanza kumtetea kiroba chenu, mnawapa wakina mount tu lawama za bure. Tulishasema hapa yule kiloba tumepgwa.




kwakweli ni kiloba cha pumbaTunaongoza ligi goal deference 12 unavyosema tunapaki bus unaakili kweli weweKwa kupack bus?
Kwani wakati mnacheza na man city mlifanyaje?Tunaongoza ligi goal deference 12 unavyosema tunapaki bus unaakili kweli wewe
Lile limetokana na mpira wa Kona km sikosei....still bado hatujafungwa open play goal....nilimsikia mpk Jim beglin alisemaGoli la Gabriel Jesus ni la Open Play
Wengine watakuwa wanacomment wamelewaTunaongoza ligi goal deference 12 unavyosema tunapaki bus unaakili kweli wewe
mkuu...sasa sijui games zote mpk za arsenal tulipack bus...!?Lakini ulishachezwa, mpira ukishachezwa inaitwa open play, ingekuwa direct sawaLile limetokana na mpira wa Kona km sikosei....still bado hatujafungwa open play goal....nilimsikia mpk Jim beglin alisema
Game ngumu ni hii ya brentford na leicester tho msim huu wanaonekana hawako vizuriChelsea’s next 5 Premier League games…
Brentford (A)
Norwich (H)
Newcastle (A)
Burnley (H)
Leicester (A)
Ndio lakin piah mpira ulimgonga mchezaji wa Chelsea ndo maana unaona hata mendy alishindwa kudaka sababu ulipoteza directionLile limetokana na mpira wa Kona km sikosei....still bado hatujafungwa open play goal....nilimsikia mpk Jim beglin alisema