Odoi anatakiwa acheze winga hasa winga ya kushoto utafurahi kwa roho yako lakini ukimweka wingback ni majangaNina wasiwasi na Odoi na Chilwell last time form zao zilikuwa sio nzuri japo kwa Juventus Odoi alichangamsha
Mkuuu mbona kila kitu lawama tumuachie mwal afanye yake sie tuombe win tuTT bado hana first XI, Bado anajaribu au ndio rotation
Ila RLC ana haki ya kuanza leo
View attachment 1960318
Ni Rotation nzuri Tu mzeeTT bado hana first XI, Bado anajaribu au ndio rotation
Ila RLC ana haki ya kuanza leo
View attachment 1960318
Mpira ni kushangilia, kutamba, lawama, uchambuzi na mambo kibao haina lingine, ndio maana wengine kwa ushabiki huo huo wanatukana, wanagombana, an wengine wanacheza kamari, nk. Yote hatuna budi tuyapokee mwisho wa siku kuna watakaofurahia na watakaohuzunika kama leo Old Trafford hakuna cha Cavani, Ronaldo au Bruno. Yule mmanyema aliyesota mechi 16 bila goli ndie kafunga leoMkuuu mbona kila kitu lawama tumuachie mwal afanye yake sie tuombe win tu
Ile timu ya wazee wachezaji kma 5 up 6 ni above 32Mpira ni kushangilia, kutamba, lawama, uchambuzi na mambo kibao haina lingine, ndio maana wengine kwa ushabiki huo huo wanatukana, wanagombana, an wengine wanacheza kamari, nk. Yote hatuna budi tuyapokee mwisho wa siku kuna watakaofurahia na watakaohuzunika kama leo Old Trafford hakuna cha Cavani, Ronaldo au Bruno. Yule mmanyema aliyesota mechi 16 bila goli ndie kafunga leo
Chalobah anacheza kama beki kusaidiana na Silva pamoja na Rudiger sahihisha iyo kitu kwanza.Leo tunashinda, hao hao akina Chalobah leo anacheza DM na RLC, tutegemee flavour tofauti na ile ya akina Jorginho, japo hakuna anayefikia anga za Kante hapo. Nitakuwa na wasiwasi tu na uwezo wa Chilwell na Odoi kwenye kukaba labda afunikwe na Azpilicueta
VAR ni mpango rasmi kuwezesha wacheza kamali wakubwa duniani, hata kama ni kula na kipofu ndiyo kukataa goli la wazi kabisa namna ileMaoni ndgu hiv VAR hakuna hata kampeni ya kuiondoka inapoteza radha ya mpira

